Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,121
- 190,523
Kuna hili la tabia ni jambo moja ila ile ya Long distance ni Extreme level. Yani ipogi tu watanzania ni wanafiki sana to the core. Long distance ni kwa watu wanao value uaminifu kama wazungu.
Huwa haina mbali wala ukaribu, hizo ni tabia tu za watu.
Kama ulikua haujui basi ngoja nikujuze, watu wanaishi pamoja lakini kila mmoja akienda kwenye mihangaiko mwingine anatoka nyumbani kwenda kungonoka kwingine au mtu anaenda kazini lakini huko kazini bado anatoroka mara moja kwenda kubanjuka, na wakati mwingine huko kazini au mtaani watu wanajua kuwa anagusanishaga vikojoleo na fulani.