David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,110
- 6,748
Mahusiano ya mbali haswa kwa sisi wanaume ni magumu sana tena sana.
Mh watu mna majibu makali yanayoumiza mtoa madaCheti cha ndoa ndo kinafanya mtu hasiwe na nyege?




malaya ni malay tu hata ungieshi naye siku zote hata bila kusafiri.Mahusiano ya mbali yanachangamoto nyingi hasa suala la uaminifu.Umbali huu unawezasababishwa na kazi Mfano mhusika mmoja anafanya kazi Kilimanjaro mwingine yupo mtwara.Kuonana ni miezi kadhaa hadi mwka.Hii inaleta changamoto kwani wanamahusiano hawa wasipoweza kudhibiti hisia wanawezajikuta wanamahusiano juu ya mahusiano.Kudhibiti hisia yataka moyo na mungu.
=====================================================Kuna mhusika mmoja alimuibukukia mke wake kwa kumshtukiza akakuta viatu vya mwanaume mwingine na koti kuuliza akaambiwa ni vyako nilikununulia hajakaa sawa akakuta mwenye navyo anaingia bila hata ya hodi ati anauliza huyu nani du stor ni ndefu nitatafuta muda niwape uhondo wa kilichoendelea lakini itoshe kusema kukaa pamoja na mwenza ni jambo jema hata lisipoweza kufanya kazi kwa 100% lakini litapunguza kwa kiasi suala la uchepukaji na kupunguza magongwa ya zinaa mtaani.
============================================
TWENDE MBELE TURUDI NYUMA ,FIMBO YA MBALI HAIUWI NYOKA
Wanaoleta hoja za umbali ni vijana wanaolinganisha uhusiano wa kimapenzi na ndoa. Na hawa ni vijana wanaokaa mbali na wazazi kwa hiyo hawapati mazungumzo ya ndoa. Ukichunguza vizuri vijana waliokulia vijijini hata wakifika mijini hawana mzaha na swala la kuoa/kuolewa kwa sababu ndugu na jamaa waliowaacha vijijini wanatoa kipaumbele swala la kuoa/kuolewa. Njoo kwa hawa born town ndo utawasikia wanafanya kampeni za ndoa ni utapeli.Mimi hili swala la umbali huwa nalikataa kabisa. Hizi ni tabia tu za watu, umbali has nithing to do nazo.
Hizi justifications za kiuana harakati hizi ambazo zinamlemaza na kumdekeza mwanadam ndiyo zinazoibomoa jamii na dunia.
Huko tuendako wanaotetea umbali watakuja kutuaminisha kwamba, ni sahihi kwa wafungwa kulawitiana sababu wametengwa na hawaruhusiwi kuonana na wanawake, yaani hawapewi fursa ya kufanya mapenzi.
Mh watu mna majibu makali yanayoumiza mtoa mada![]()
