Mungu Akulinde Kipenzi
Senior Member
- Jan 7, 2017
- 180
- 644
Hata ya karibu ni balaa. Mwanamke ni wako wakati ukiwa naye unampelekea moto. Baada ya hapo waachie wenzio. Ukijaribu kung'ang'ania utaumia!
Sasa hapa utakuwa una aamsha vilivyo lalaUkimpigia asipopokea, halafu asubuhi akakwambia"sorry, nililala mapema", mjibu kwamba "usijali, mimi mwenyewe ndiyo kwanza narudi asubuhi hii".
Mimi hili swala la umbali huwa nalikataa kabisa. Hizi ni tabia tu za watu, umbali has nithing to do nazo.Mwanandoa anayehamia mkoa mwingine kikazi akaweka doa kwenye ndoa anamaanisha kwamba alikuwa anaishi na mwenzake kinafiki. Yafaa adumishe ndoa yake kwa mbinu zozote zile bila kutumia uhamisho kama kisingizio cha kuhatarisha uhai wa ndoa.
Ha ha haaaSasa hapa utakuwa una aamsha vilivyo lala
Hahahahah mbwa kala mbwaUkimpigia asipopokea, halafu asubuhi akakwambia"sorry, nililala mapema", mjibu kwamba "usijali, mimi mwenyewe ndiyo kwanza narudi asubuhi hii".
🤣 Subiria uolewe kwanza, hata walioolewa walikuwa na akili kama hizi before!Mimi kama nimeolewa sichepuki ila haya mengine unaweza kukuta uko muaminifu unavumilia ukimngojea mwenzio kumbe unayeteseka kwa ajili yake kila siku anapata huduma.
Hahahahahah kwamba mtu akiwa uzunguni hawezi kupigwa bolo ila akiwa hapa umatumbini ni dakika 0 tu? 🤣🤣🤣 That doesnt make sense mtu wa hovyo ni wa hovyo tu hata akiwa marekani.Mkuu, trust me, long distance relationship haina tatizo.
Kuna long distance relationship na mahusiano ya mbali😃.
Long distance ni mahusiano na aliyepo nje ya nchi. Haya huwa hayana changamoto kivile.
Na mahusiano ya mbali ni yule aliyepo mikoani, yaani upo kikazi Tunduru au Namtumbo au Sikonge halafu shemeji yetu umuache Dar😃, hii huwa inafeli hii, yaani inaenda.
Mapenzi ya mbali ni kichocheo maradufu kwa wapenzi kuchepuka na hii inapelekea mahusiano kuvunjika mana kila mtu anakuwa bize na michepuko yake huko alipo
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Noma sanaYani ni movie mzee. 😄 Unaambiwa bby goodnight nmechoka leo. Simu ikikatwa after 5 mins ukiipiga ngoma inatumika yani "Line Busy"
Yani mwenye mali ndio anauliziwa huyu nani,inaonyesha jamaa hapo ndio kwake na wewe ni mvamizi...Mahusiano ya mbali yanachangamoto nyingi hasa suala la uaminifu.Umbali huu unawezasababishwa na kazi Mfano mhusika mmoja anafanya kazi Kilimanjaro mwingine yupo mtwara.Kuonana ni miezi kadhaa hadi mwka.Hii inaleta changamoto kwani wanamahusiano hawa wasipoweza kudhibiti hisia wanawezajikuta wanamahusiano juu ya mahusiano.Kudhibiti hisia yataka moyo na mungu.
=====================================================Kuna mhusika mmoja alimuibukukia mke wake kwa kumshtukiza akakuta viatu vya mwanaume mwingine na koti kuuliza akaambiwa ni vyako nilikununulia hajakaa sawa akakuta mwenye navyo anaingia bila hata ya hodi ati anauliza huyu nani du stor ni ndefu nitatafuta muda niwape uhondo wa kilichoendelea lakini itoshe kusema kukaa pamoja na mwenza ni jambo jema hata lisipoweza kufanya kazi kwa 100% lakini litapunguza kwa kiasi suala la uchepukaji na kupunguza magongwa ya zinaa mtaani.
Kuna hao waliokuwa na ndoa yao, mume mkoa huu na mke mkoa ule. Walidumu miaka na miaka.
Baadaye walikata shauri mume amfuate mke wake mkoa ule ili waishi pamoja, na walifanikiwa.
Baada ya kuanza kuishi pamoja miezi kadhaa tu ndoa ikavunjika.


😍😍😍😍😍 Hili ni jambo jema sana.Iam not like most people.
Ni mmoja ya wanadamu wachache waaminifu.
Nina madhaifu mengi ila usaliti si mojawapo.
Grave mistake. Huwezi kuishi mbali na mke for years halafu utegemee kwamba mnaweza ku cohabit mambo yakaenda mswano tu. Sio kwa wabongo naowajua 🤣Kuna hao waliokuwa na ndoa yao, mume mkoa huu na mke mkoa ule. Walidumu miaka na miaka.
Baadaye walikata shauri mume amfuate mke wake mkoa ule ili waishi pamoja, na walifanikiwa.
Baada ya kuanza kuishi pamoja miezi kadhaa tu ndoa ikavunjika.
AminaWote mliopo kwenye Mahaba mazito humu, ndani ya mwezi huu siri zenu zitafichuka na Mtaachana wote...
Rubish