Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,204
- 10,851
Wakuu habari zenu,
Moderators naomba msiunganishe huu Uzi na nyuzi zingine .
Nilikuwa na mahusiano na narcissist kwa muda wa miezi mitatu ila nimekoma kwa kweliii imebaki kidogo nife!
1.anajali hisia zake tu, zako anapuuza hata uwe unaumwa
2.ana asili ya unyonyaji akiamini kwamba yeye ndo anatakiwa kupewa kipaumbele kwenye mahusiano
3.anakuwa mkali ukimuonesha kwamba amekosea ( atafanya kila awezalo kuonyesha kwamba wewe ndo mwenye makosa)
4.hajiamini na anapenda kusifiwa sanaaa ili ajisikie vizuri
5. Amekuwa ni mtu anayeanzisha drama mara kwa mara na pia hukiri kwamba huwa anafanya hizo drama kwa makusudi coz huwa anajisikia mpweke
6. Ametengwa na marafiki zake( akidai kwamba wanamuonea wivu wa kwenye mahusiano yake)
7. Amekuwa ni mtu wa kulalamika sana kuhusu nyumbani kwao kwamba hawamtunzi vizuri na BLA BLA kibao
Aanyway najiona kama ni mfungwa aliyewekwa huru kwa kweliii
Je, ushawahi kukutana na narcissist kwenye mahusiano