Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,097
- 127,830
Huogopi maswali??
Maswali nimeshazoea mimi...toka darasa la kwanza najibu
Huogopi maswali??
Niko serious ujue .....!!
Binafsi siamini katika mahusiano ya mtandaoni na mtu akisema kuwa amepata mwenza kupitia mtandaoni huwa naona kama anatania tu labda kibiashara/kikazi.
There is no formula I believe. Yatokeayo uraiani ndo yaandikwayo humu.
Ulimbukeni wa wachache unaharibu mazuri mengi ya mitandao.
Anyway...bottom line ni hakuna formula!!!
U need to learn a lot mate!