Mahusiano mtandaoni: Je, yanafaa au hayafai

Mahusiano mtandaoni: Je, yanafaa au hayafai

kama mtaonana na kua marafiki kwanza cdhani kama kuna tatizo ila cio ile hamjaonana mnaanza mahusiano
 
hahahaaaa yanafaa saana hayana stress kama ya mtaani na chuoni
 
Yanafaa,binafsi mitandao imenifaidisha. Kila kitu kina ubaya na faida inategemea nawewe tu!
 
Mkuu sinza kwetu humu kwenye mitandao kila kitu kipo. Marafiki au wachumba au partners kwenye biashara au washauri wazuri au kinyume na hao wote yaani maadui au wanafiki au matapeli.
Kila kinachohusu mtandao ni kuwa makini kwanza kabla ya kufikia maamuzi na kabla ya kufikia maamuzi hata yale madogo tuu ya kujiexpose kwa mtu na kumweleza habari zako chunguza kwanza je inafaa kutoa details zangu.
Mahusiano yapo na yanaweza kuwa mahusiano positive ya mpaka ndoa ila mwanzo wake mpaka kuja kudevelop trust ya kukutana ndio tatizo. Ni kuwa makini hakuna kisichowezekana kama alivyosema Mentor hapo juu yote yanawezekana kama vile humu tunaoishi ni wal;e wale wa mtaani sio majini au sio viumbe hewa ni wale wale tunaopishana mtaani na kwenye daladala na kukutana kwenye sherehe na mikutano mbalimbali
Uwezekano upo sana ni kiasi cha kuwa makini na kujua unaanzia wapi na unaishia wapi kwenye kuyaanza mahusiano hayo. Msije mkagombana ukajikuta tunakujua sinza kwetu kumbe ni mlevi au mgomvi au mbahili
 
Last edited by a moderator:
Binafsi naona mitandao ya kijamii imekuja wakati ambao bado hatupo tayari kunufaika nayo kwa asilimia kubwa!!!
Zaidi ya yote imetu expose kuextend macro socialization na engine!!
Asilimia kubwa ya watumiaji hawajielewi mbaya zaidi kuna ulevi (addiction) & misuse of social networks!!!
Tume lack self control kwa kiasi kikubwa jambo ambalo limemomonyoa maadili ya jamii zetu & hata kudumaza ufanisi kiutendaji WA shughuli za kiuchumi na kimaendeleo personally & as a nation!!!
Hata hivyo faida zipo kama ukoloni ilvokua lkn ninachokiona zaidi ni HASARA/NEGATIVITIES!!
Tusipokomaa kujitengeneza mfumo mzuri WA namna njema ya kunufaika & hii mitandao ni dhahiri kua mustakabali WA taifa na jamii nzima utakuwa rehani vizazi adi vizazi!!
Tukumbuke kuwa hatuna mfumo clear WA uzalishaji nchini, nchi changa & hata mambo mengi tunaburuzwa na mataifa ya magharibi (capitalist nations)

My take:
WE ARE THE VICTIMS OF THESE SOCIAL NETWORKS & WHAT THEY CALL MODERNIZATION!!
 
Yanafaa ila wanawake wa mitandao wanatafuta vibosile, kama huna hela usijaribu.
 
Back
Top Bottom