matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,960
"Ana akii yake" msemo wa wabondei wa tanga. Hapo mlengwa ni mmoja tu ila anamtafutia taimingi .
Mhh nilifikiri nimeelewa peke yangu hii thread. Hapa naona kuna meseji inatumwa na wanajuana sijajua kuna shetani gani kaingia MMU inaonekana kuna siku watu wakikutana umu watamwagana mavi.