Mahusiano: Jinsi ya Kumfurahisha Mkeo

kazi kweli Mzizimkavu umenena ila hili si kwa wanaume wala wanawake kikubwa nikujua sehemu muhimu kwa kila wapendanao
 
Hawachelewi kusoma gazeti wakati wa shughuli hao!

hahahahaaaaaaaaaa brother naona mmeamua kushambulia hii jinsia by the way hata wanaume pia siku hizi wanasoma gazeti, yaani hata dk 5 ni nyingi hoi.
 
WATU wengi (hasa baadhi ya wanaume) ama hawajui au hawajali ni kitu gani wenza/mwenza wake anataka kufanyiwa au akifanyiwa kitamsisimua (Turn on) hata kama amechoka sana.

Uchunguzi unaonyesha kuwa Wanaume wengi hasa kutoka nchi za Kiafrika hujali zaidi kumaliza hamu zao za mwili na kamwe hawajali kama wenza/Mwenza wake yuko tayari au la!.


Mf: Inasemekama baadhi ya Wanaume wa Kiafrika ambao ni wakubwa kiumri (wa zamani), au wale ambao wanathamini sana jadi zao asilia ndani ya Afrika, kitu cha kwanza watakacho kuambia mkiwa chumbani ni "njoo hapa" au "vua nguo basi" na kisha utavamiwa kabla hata wewe mwenyewe hujawa tayari na unalazwa chini kama sio unawekewa uume mbele ya uso wako.......halafu watu mnashangaa kuambiwa "mume wangu alinibaka".


Mfano huo unaonyesha ni kwa jinsi gani baadhi ya wanaume wanavyojipendelea(wabinafsi), na mara zote huweka akilini mwao kuwa wanawake/mwanamke ni chombo cha kumridhisha / kumstarehesha/ kumfurahisha na kumliwaza yeye "mwanaume".

Napenda kusema kuwa mwanamke kama mwanadamu pia anahaki ya kuridhishwa, kustareheshwa, kufurahishwa na kuliwazwa pia.

Dhana hiyo potofu imepelekea baadhi ya makabila kuendeleza mila za kuwakusanya wasichana ktk umri wa kuvunja ungo (mwali) na kuwafundisha jinsi ya kuwaridhisha mwanaume kimapenzi " hao wana bahati".

Lakini kwa wale ambao hawafuati/hawana/hawazijui mila hizo wamekuwa wakifuatilia kwa makini na kuamini kila kinachoonyeshwa kwenye "Video" ailimradi tu kiwe kinahusu jinsi ya kumridhisha mwanaume kimapenzi.


Inasikitisha sana kuona pia baadhi hufuatilia hatua kwa hatua kila kinachoandikwa kwenye Magazeti na baadhi yao huamua kutafuta "Kungwi" na kulipishwa ili wapatiwe ujuzi wa kufanya mapenzi ili kuwaridhisha wapenzi wao.


Ninavyofahamu mimi ni kuwa , ujuzi, utundu katika kufanya mapenzi haufundishwi hata kidogo ila ni

-ubunifu wako,
-kujaribu,
-kuujua mwili wako na wa mpenzi wako,
-ufurahiaji wa mwili wako,
-kujiamini kwako,
-uwazi na ushirikiano wa mpenzi wako.


Ni vema jadi ikabadilishwa na swala zima la kufundishwa/fundwa liwe kwa jinsia zote mbili. Wake kwa waume wafundishe jinsi ya kuridhishana, jinsi ya kufurahia na yale mambo muhimu ya mahusiano ya kimapenzi iwe ni ndoa au mahusiano ya kudumu nje ya ndoa.

Pia ni vizuri utambue kuwa unapoamua kufanya tendo la Ndoa au Ngono ni vyema ukajua mahitaji ya mwenzio iwe mwanaume/mwanamke, jaribu kufamnyia Mwenza wako kitu/vitu tofauti na alivyokuwa akitarajia/alivyozoea ni vizuri zaidi na kutamfanya aendelee kuwa na hamu ya kuwa na wewe kwa muda mrefu "usipigwe kibuti" kwa vile unamjulia.....yaani unajua vipele vilipo na unavikuna vilivyo.
Naona videmu vya kidhungu huko mamtoni vimekupa darasa tosha la mambo yetu,vipi dawa ya kuwa na ujuzi wa kumkuna kimwana veme yenyewe huna?au una ile ile moja ya kuchelewesha bao tuu?
 
Wanawake,wanawake,wanawake ila nyie wanaume mnajiona yo at the right position cyo? em acheni ku2bebesha lawama zisizo na mcng nyie wenyewe matatzo 2pu yn hakuna bora bila mwanaume naamin mschana hawez cheat and vice versa
 
WATU wengi (hasa baadhi ya wanaume) ama hawajui au hawajali ni kitu gani wenza/mwenza wake anataka kufanyiwa au akifanyiwa kitamsisimua (Turn on) hata kama amechoka sana.

Uchunguzi unaonyesha kuwa Wanaume wengi hasa kutoka nchi za Kiafrika hujali zaidi kumaliza hamu zao za mwili na kamwe hawajali kama wenza/Mwenza wake yuko tayari au la!.


Mf: Inasemekama baadhi ya Wanaume wa Kiafrika ambao ni wakubwa kiumri (wa zamani), au wale ambao wanathamini sana jadi zao asilia ndani ya Afrika, kitu cha kwanza watakacho kuambia mkiwa chumbani ni “njoo hapa" au "vua nguo basi” na kisha utavamiwa kabla hata wewe mwenyewe hujawa tayari na unalazwa chini kama sio unawekewa uume mbele ya uso wako.......halafu watu mnashangaa kuambiwa "mume wangu alinibaka".


Mfano huo unaonyesha ni kwa jinsi gani baadhi ya wanaume wanavyojipendelea(wabinafsi), na mara zote huweka akilini mwao kuwa wanawake/mwanamke ni chombo cha kumridhisha / kumstarehesha/ kumfurahisha na kumliwaza yeye “mwanaume”.

Napenda kusema kuwa mwanamke kama mwanadamu pia anahaki ya kuridhishwa, kustareheshwa, kufurahishwa na kuliwazwa pia.

Dhana hiyo potofu imepelekea baadhi ya makabila kuendeleza mila za kuwakusanya wasichana ktk umri wa kuvunja ungo (mwali) na kuwafundisha jinsi ya kuwaridhisha mwanaume kimapenzi “ hao wana bahati”.

Lakini kwa wale ambao hawafuati/hawana/hawazijui mila hizo wamekuwa wakifuatilia kwa makini na kuamini kila kinachoonyeshwa kwenye “Video” ailimradi tu kiwe kinahusu jinsi ya kumridhisha mwanaume kimapenzi.


Inasikitisha sana kuona pia baadhi hufuatilia hatua kwa hatua kila kinachoandikwa kwenye Magazeti na baadhi yao huamua kutafuta “Kungwi” na kulipishwa ili wapatiwe ujuzi wa kufanya mapenzi ili kuwaridhisha wapenzi wao.


Ninavyofahamu mimi ni kuwa , ujuzi, utundu katika kufanya mapenzi haufundishwi hata kidogo ila ni

-ubunifu wako,
-kujaribu,
-kuujua mwili wako na wa mpenzi wako,
-ufurahiaji wa mwili wako,
-kujiamini kwako,
-uwazi na ushirikiano wa mpenzi wako.


Ni vema jadi ikabadilishwa na swala zima la kufundishwa/fundwa liwe kwa jinsia zote mbili. Wake kwa waume wafundishe jinsi ya kuridhishana, jinsi ya kufurahia na yale mambo muhimu ya mahusiano ya kimapenzi iwe ni ndoa au mahusiano ya kudumu nje ya ndoa.

Pia ni vizuri utambue kuwa unapoamua kufanya tendo la Ndoa au Ngono ni vyema ukajua mahitaji ya mwenzio iwe mwanaume/mwanamke, jaribu kufamnyia Mwenza wako kitu/vitu tofauti na alivyokuwa akitarajia/alivyozoea ni vizuri zaidi na kutamfanya aendelee kuwa na hamu ya kuwa na wewe kwa muda mrefu “usipigwe kibuti” kwa vile
 
Uchambuzi mzuri wa KUELIMISHA. Kwa hiyo hoja ya elimu ipo palepale. Watu wanapaswa kujifunza. Nancy Van Pelt ni muumini sana wa dhana ya elimu. Tafuta kungwi upate shule. Tupo, tutakusomesha.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom