Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,018
Wanaficha ukweli.Mkuu hii ni kwamujibu Wa mamlaka za huko
Ndiyo sababu iliyosemwa.
Wanaficha ukweli.Mkuu hii ni kwamujibu Wa mamlaka za huko
Ndiyo sababu iliyosemwa.
Hiyo habari haipo. Ni uongo tu.
Asante kwa taarifa, hii kitu ni kweli, nimeisoma hapa. More Than 130 Pilgrims Die During Hajj inSaudi Arabia: ReportsMahujaji 130 inadaiwa wamefariki katika ibada ya Hijja. Source Azam Two Habari imeandikwa katika maandishi yanayopita kwenye screen.
Wanaficha ukweli.
Aisee, hayo magonjwa yameanzia wakiwa Makkah? Vipi, mbona Mola wetu Mlezi hakuwaponya?
MANAMA, October 5 (RIA Novosti)
More than 130 pilgrims from Arab states have died in Saudi Arabia during the Hajj which has begun on October 2, due to exacerbation of chronic diseases and age-related complications, the International Islamic News Agency reported.
According to the report, released on Saturday, the biggest number of deaths (14) has been registered among the pilgrims, coming from Egypt. Casualties have also been reported among the religious travelers from Iraq, Algeria, Sudan, Morocco, Somalia, Yemen, Jordan and Mauritania.
Another 213 pilgrims are currently under treatment in the hospitals of Saudi Arabia.
The Hajj is a mandatory religious duty an annual Muslim pilgrimage to Mecca, a city in Saudi Arabia. It should be carried out at least once during a Muslim person's lifetime. The Hajj presupposes strict observance of numerous rituals, including the standing on Mount Arafat, which lasts for many hours. These rituals are being observed during the daylight, when temperatures may exceed 35 C (95 F).
This is occult sacrifice. There is nothing new from the diabolical deity who denies God.
Si mara ya kwanza kusikia kuwa hii ni kafara ya kila mwaka inayoendelea kule.
Kuna mtu aliconvert alinieleza on details hii kitu.
Cha ajabu wahusika wenyewe hawaoni...wanasema msongamano..sijui uzee...sijui magonjwa..
Ukisikia kitu kifanyie kazi ujue ukweli wake..sio kupinga tu kama mwehu....ukweli haupiganiwi....unajipigania wenyewe.
Kutokana na msongamano wa watu zaidi ya millioni 2 kutokea vifo ni jambo la kaiwaida sana na kila mwaka vifo vinatokea na ukizingatia kuna wazee wengi wanaenda kuhijji.kutokea vifo Meccah wa wala siyo issue
Ewe Mola nijaalie kuwa miongoni mwa waja wako utakaowajaalia kuitikia wito wa kuitembelea miji mitakatifu ya Makkah na Madina hapo mwakani ili kutekeleza ibada tukufu na nguzo ya tano ya dini yetu nzuri ya Kiislamu.
Na unijaalie kwa kadiri ya kadirio lako kwa uhai wangu kuwa Makkah al Mukkaramah kuwa eneo itakapotoka roho yangu.
Ya Allah nijaalie kuitikia Labbaika Allahuma Labaika.
Allahuma Aamin.
Ewe Mola nijaalie kuwa miongoni mwa waja wako utakaowajaalia kuitikia wito wa kuitembelea miji mitakatifu ya Makkah na Madina hapo mwakani ili kutekeleza ibada tukufu na nguzo ya tano ya dini yetu nzuri ya Kiislamu.
Na unijaalie kwa kadiri ya kadirio lako kwa uhai wangu kuwa Makkah al Mukkaramah kuwa eneo itakapotoka roho yangu.
Ya Allah nijaalie kuitikia Labbaika Allahuma Labaika.
Allahuma Aamin.
Ni kweli mkuu maaana mtu kutoka mji wako ulipo na kuweka nia ya kwenda makka kuhiji na ukatimiza wajibu wa kwenda unamaanisha kua unaenda kutubu na kuomba msamah kwa mazambi yako yote mwenyezmungu ndo mwenye kujua nia ya mtu na wengi wetu tunaomba toba so unajitolea kufa kwa kuomba msamah