Mahujaji 130 wamefariki katika ibada ya Hijja

Mahujaji 130 wamefariki katika ibada ya Hijja

I am scared of going to Makkah, you know. They do sacrifice humans there. I better go to Jerusalem the City of God, where there is peace, joy and harmony.

God bless Israel.
Mkuu mbona unapenda sana fujo?
 
Yaani masihala na Imani ni vitu viwili tofauti.

Tusiweke udini katika suala zito la watu kupoteza maisha kama hili.

Hawa ni binadamu hivyo tuwe na staha.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Ningeomba tuyaache tu maana tukiendelea itakua na udin ndani yake kwa kifupi kila mmoja na iman yake tu kwa sisi waislam tumshukuru mungu kwa iman alotujaalia ambayo ni ya haki na hawa wenzetu ndugu zetu watakuja kujua ukweli pindi watakapoyaona maana mwenye macho haambiwi ona na mwenye maskio haaimbiwi sikiza jaman tuyaache tumuombe mwenyezmungu atuwezeshe kuishi maisha ayapendayo na kuyarizia aamiiin
 
Ndugu zangu msiokua Waislamu hamuhitaji kutukana am a kukejeli. Kama mna haja ya kujuzwa ulizeni kwa kiungwana mtajibiwa.
Ila pia mkiamua kutukana na kukashifu hewala kwani ni matumizi pia ya ubongo wako aliokujaalia Mola Muumba.
Kwa ndugu Waislamu tafadhali tuzingatie mafundisho ya Mtume wetu Muhammad (SAW) aliyotupatia katika hiyo hadith inshallah.
 

Attachments

  • 1412612019327.jpg
    1412612019327.jpg
    30.4 KB · Views: 174
Wakutana watu wengi kwa Mara moja zaidi ya Milioni 4. Hivyo basi kunawengine siku zao za kufa lazima zitawukuta huko!
 
Umeongea kwelii lililii kifo kipo nanhakina sababu jaman tusidiss amri ya mungu hakuna anaetambua atakufa lini na saa ngapi kikubwa tuwaombee kheir tu mwenyezmungu ndo amewapangia wakafie huko

nasikia huko kuna jiwe jeusi takatifu linaabudiwa ni kweli.
 
Kama Jerusalem kuzuri nenda tu ndugu. Na hats mimi siku moja nitakwenda kutembelea baitul maqdis. Lakini ya Makkah ni ya kwetu WAISLAMU. Hatuendi kutembea Bali kukamilisha ibada nzito ya Hijja ambayo ni nguzo katika nguzo tano za dini yetu tukufu ya kiislamu.
 
Ewe Mola nijaalie kuwa miongoni mwa waja wako utakaowajaalia kuitikia wito wa kuitembelea miji mitakatifu ya Makkah na Madina hapo mwakani ili kutekeleza ibada tukufu na nguzo ya tano ya dini yetu nzuri ya Kiislamu.
Na unijaalie kwa kadiri ya kadirio lako kwa uhai wangu kuwa Makkah al Mukkaramah kuwa eneo itakapotoka roho yangu.

Ya Allah nijaalie kuitikia Labbaika Allahuma Labaika.

Allahuma Aamin.

Inshaallah aamin.
 
kwa hiyo nyie wafilisti nasikia mnakiabudu hicho kibanda pomoja na jiwe-kimwondo kama kile cha mbozi na mnaipiga mawe sanamu ya shetani.

Haya na wewe umechangia asante, au kuna mengine umebakisha?
 
Usiwalaumu wengine ha2ajijui na hatojijua wanataka wachangie hata utumbo wajulikane jf bus wakuu kuen na heshima kidogo kwa dini mbona nyi mnaabudu sanam la bikira maria si hatusemi na istoshe mna taratibu zenu nyingi kama padri hana mke na sister nae haolewi why naombeni jibu nanyi juu ya hilo kwa nini watu hawa hawaoi wala kiolewa
 
Ndugu zangu msiokua Waislamu hamuhitaji kutukana am a kukejeli. Kama mna haja ya kujuzwa ulizeni kwa kiungwana mtajibiwa.
Ila pia mkiamua kutukana na kukashifu hewala kwani ni matumizi pia ya ubongo wako aliokujaalia Mola Muumba.
Kwa ndugu Waislamu tafadhali tuzingatie mafundisho ya Mtume wetu Muhammad (SAW) aliyotupatia katika hiyo hadith inshallah.

Nakuelewa sana una hkima sana kma jina lako sema tu we ni ccm hama uko nkupe nyota zote
 
Back
Top Bottom