Mahujaji 130 wamefariki katika ibada ya Hijja

Mahujaji 130 wamefariki katika ibada ya Hijja

Watu wanakuwa wengi mno aisee! Pia wengine wanakuwa wagonjwa siku nyingi hivyo kiimani wakifika hapo huwa na amani moyoni,ni sawa na mgonjwa aliepata naafuu ghafla huwa anakufa mara nyingi.
 
Si mara ya kwanza kusikia kuwa hii ni kafara ya kila mwaka inayoendelea kule.
Kuna mtu aliconvert alinieleza on details hii kitu.
Cha ajabu wahusika wenyewe hawaoni...wanasema msongamano..sijui uzee...sijui magonjwa..

Ukisikia kitu kifanyie kazi ujue ukweli wake..sio kupinga tu kama mwehu....ukweli haupiganiwi....unajipigania wenyewe.

Kombe la dunia Brazil walikufa watu wangapi?
 
Mimi naona sio sawa kukashifu dini ya mtu yeyote. Lakni wao waislam wanasema mtu sio mwislam ni kafir. Asipo submit, auawe.

Kumuua mtu kwasababu haamini?who am i to judge my fellow human being? Its only he God himself a true judge.
Kwahio siku wakianza kua wakeisto Tanzania wala situmii bunduki mie. Rwanda genocide itakuwa ni cha mtoto. U kill everything of theirs mpaka wanyama na watumish. Mungu kama yupo atasikia na ataona na tutapigana kwa jina la Mwenyezi Mungu aliye hai.

Mkuu usiombe kabisa mambo ya vita ni hatari mno,na dini zinazolazimisha watu kwa kweli mie nina mashaka nazo huwa nahisi ni mpango wa shetani.Utamcovert vipi mtu kwa kumtishia kumuua
 
Haya karibu tena. Lakini kwa ajili ya kuongeza maarifa ningekushauri ukasoma vizuri hivyo vitabu vinavyofundisha kuua wasiokuwa waislamu.
Na mkwara wako pia umesikika. Uwe na siku njema
 
as I said what's eating u galatians is a narrow minded sorry 4that.we believe each of soul will test the deth.the way of deth the creater of souls knows best, single or plural at once.that's why in occasion like that we muslims says we belongs 2 the ALLAH and 2 him we return.and u know what u galatians says u belong 2 the dust and 2 it u return.oh what does it sens.
Then bear in mind that when muslims perfoming HIJJA confessed and repend their sins 2 the creator of this universal and rewarded forgveness from him, if his life time ceased there he has gone pure no sin.
As u galatians do confess and repend sins before PADRI ,MCHUNGAJI,MKUU WA KIGANGO,or POPE.ect a same humanbeing as u its amazing.

Mkuu,

Naomba unifafanulie hapo kudogo!
Kwa hiyo waislamu wote ambao hawatakwenda hijja maisha yao yote ina maana watakufa bila kutubu dhambi zao na wala hawatapata nafasi ya kumpiga shetani mawe hivyo watakwenda jehanamu!!?

Unamaanisha hivyo au nimekupata vibaya!!?
 
Jerusalem mnakwenda wachache hata hamsini hamfiki,kila dhehebu la kikirsto lina sehemu tofauti ya kuhiji.Na pia imeshatokea vifo.

Si kwamba Yerusalemu wanakwenda wachache. Hapana ni wengi sana kwani ni Dunia nzima Wakristo wanakwenda kule. Isipokuwa ni utaratibu tu ndio unaoleta hali ua usalama sehemu yoyote.
hivi hii kitu huwa ni kafara au nini? kwa nini watu wanakufa sana kila mwaka hapo?

Hivi vifo wa kulaumiwa ni waandaaji au Viongozi wahusika. kwani wanapaswa kujua idadi ya mahujaji watakaokuja na kuandaa sehemu ya kutosha kwa idadi yao.

Wanatakiwa kuwe na utaratibu wa Ibada, si lazima wote muende kwa pamoja mfano watu milion 5 eti mnapiga mawe kwa pamoja. Kama lengo ni kumpiga shetani kukiwa na utaratibu wa kusogea wachache wachache kweli shetani mtampiga na ataumia. lakini mkienda wengi na kurusha mawe pamoja mtajikuta mnapigana wenyewe kwa wenyewe. Je hapo nyie ndio mmekuwa shetani???

ni utaratibu ndio uliokosekana hapa. Wanapaswa kujifunzxa kutokana na vifo vya kila mwaka.

Ingawa huenda ni siku zao zimefika za kuaga Dunia hatuwezi jua, yote tumuachie Mungu.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Mkuu,

Naomba unifafanulie hapo kudogo!
Kwa hiyo waislamu wote ambao hawatakwenda hijja maisha yao yote ina maana watakufa bila kutubu dhambi zao na wala hawatapata nafasi ya kumpiga shetani mawe hivyo watakwenda jehanamu!!?

Unamaanisha hivyo au nimekupata vibaya!!?

kwenda hijja yahitaji uwezo wa fedha nawasiokua nao hujiunga na wenzao kimatendo pale wanapo funga siku ya arafa na wanapo chinja wanyama kwa kutoa sadka kwa siku ambazo walio makah wanafanya ibada hiyo
 
Naomba mufahamu kuwa hijja sio matembezi au ziara ndugu zangu. Ni ibada maalum, kwa watu waliotimiza vigezo maalum, inafanyika tarehe mahsusi, kwa utaratibu mahsusi kwa siku mahsusi.
Pia lazima mfahamu hata idadi ya wanaokwenda ipo hiyo kwa sababu wamejaribu kuzuia kuepuka maafa. Wasingeweka idadi maalum kusingetosha.
Unaweza kuangalia YouTube ili kupata ufahamu wa utaratibu uliopo na hali ilivyo.
 
Watu wamekuwa wanakufa kila mwaka kwenye hizi ibada, kuna jitihada zinafanywa za kuthibiti hali hiyo?
 
MIRACLE OF MECCAH CITY
The proportion of distance between Makka and North Pole to the distance between Makka and South Pole is exactly 1.618 which is the golden mean. Moreover, the proportion of the distance between South Pole and Makka to the distance between both poles is again 1.618.
The miracle has not been completed yet; The Golden Ratio Point of the World is in Makka city according to map of latitude and longitude which is the common determinant of mankind for location.
The proportion of eastern distance to the western distance of Makkas solstice line is again 1.618. Moreover, as shown in the Figure, the proportion of the distance from Makka to the solstice line from the west side and perimeter of world at that latitude is also surprisingly equal to the golden ratio, 1.618. The Golden Ratio Point of the World is always within the city borders of Mecca, within the Holy Region that includes Kaaba according to all mapping systems despite minor kilometrical variations in their estimations.
Numerous famous painters, engineers and architects, like Leonardo Da Vinci, have been using this ratio in their works of art for hundreds of years.

Numerous famous painters, engineers and architects, like Leonardo Da Vinci, have been using this ratio in their works of art for hundreds of years.

Mkuu,

Nafikiri hajui maana ya miracles!
Miracle ni tukio ambalo haliwezi kuelezeka katika hali ya sayansi na ya kisheria!!
Suala la mji fulani kuwa na umbali sawa kutoka poles zote ni suala la design!Architect can do that!!Engineers can do that!!

Labda nimweleze tu masuala ambayo ni mifano ya miracles(maajabu)!
-Kufufua wafu.
-Mtoto akizaliwa na direct akaanza kuongea!
-Kuponya upofu
-Kuponya ukoma
-Mwanamke Bikira kupata mimba
-Kutamka tu na dhoruba kali kusimama etc

Hayo ndo unaweza kuyaita maajabu!Lakini sijui Egypt pyramids,Great wall of China,na mambo mengine ambayo binadamu aweza kuyafanya yanaitwa WONDERS!

May be nitakuwa nimemfungua macho!
 
Si mara ya kwanza kusikia kuwa hii ni kafara ya kila mwaka inayoendelea kule.
Kuna mtu aliconvert alinieleza on details hii kitu.
Cha ajabu wahusika wenyewe hawaoni...wanasema msongamano..sijui uzee...sijui magonjwa..

Ukisikia kitu kifanyie kazi ujue ukweli wake..sio kupinga tu kama mwehu....ukweli haupiganiwi....unajipigania wenyewe.

Naona wakati wa kumpiga mawe shetani atakua alikwepa yakamrudia
 
Back
Top Bottom