Kasheshe,Zitto,
Mimi nakuaminia sana, lakini katika kukujenga... nakuomba ujirekebishe kwenye haya.
1. Punguza umimi, unao sana mkuu, mfano hii interview haikuwa lazima uilete wewe.
2. Punguza kuona wengine wajinga, hii mara nyingi umetukana wazee wenye heshima zao Bungeni, tumia lugha laini lakini ujumbe ufike... Nyerere alikuwa akimtusi Mwinyi lakini kwa lugha ya kiutu uzima.
3. Munkari, sio kila jambo linahitaji majibu, jifunze kutoka kwa Mzee John Samuel Malecela. Usiwe kama Mh. Sitta.
Mwisho nakukubali sana mzee endeleza libene.
ndugu zangu, ninawaomba radhi niweke mahojiano yangu haya na gazeti la jambo leo katika uwanja wetu. Humo kuna kauli yangu rasmi kuhusu mijadala inayoendelea. Baada ya muda naomba mod akusanye hizi thread nyingi zinazomhusu zitto na kuziweka pamoja. Nadhani kwenye ile thread ya rev. Kishoka.
......
nawaomba radhi tena kwa kuweka hii interview. Nadhani ni muhimu wakati huu. Naelewa kuna zitto sana, mniwie radhi kwa hili langu mwenyewe!
lakini mh.zitto naomba unijibu haya yafuatayo
- Sio kweli.je, ni kweli kampeni zako za kugombea uenyekiti wa chadema zilikuwa zinafadhiliwa ni fisadi nimrod mkono?
- Nimesema sana kuhusu EPA na nimetoa nyaraka nyingi sana kuhusu EPA kwa watu na viongozi wenzangu wanaosema pia kuhusu EPA. Kwangu mimi KAGODA ni CCM kama chama na sio mtu mmoja ambao tumeaminishwa. Nimsema hapa JF toka mwaka 2008, kwamba KAGODA ni CCM! executors wa plan ni suala lingine. Nikutonye tu, i met Balali. I spoke to Balali before he died. If we want to address KAGODA once and for all we have to tackle it holistically. Wabunge wote wa CCM walipata fedha za KAGODA kwenye kampeni zao. I asked for a special audit of CCM campaign funds by CAG to CCM denial. However, i made ammendment to Political Parties bill on party finances and for the future CAG will have the power to audit books of accounts of political parties.ni nini msimamo wako kuhusu wezi wa fedha za EPA? hasa mwizi rostam azizi ambaye inasemekana wewe ni best wako? mbiona sijakusikia ikikemea hili?
- I better don't respond to this.Weka wazi, je utagombea ubunge Kigoma au hata hapa Dsm? Isije ikawa hii mbinu ya kukimbilia kusoma ni kukimbia harakati in the holy name of mafisadi.
- This as well. Sina majibuje? huoni kuwa huu si wakati wa kukimbia uwanja wa mapambano?
Lovely, kaka wewe uko tofauti sana na wanasiasa wetu Bongo, walau unaweza kukabiliana na maswali na kujitahidi kuyajibu...Naamini nimekujibu ndugu yangu
Lovely, kaka wewe uko tofauti sana na wanasiasa wetu Bongo, walau unaweza kukabiliana na maswali na kujitahidi kuyajibu...
Uko tofauti sana! Bravo for this
je? huoni kuwa huu si wakati wa kukimbia uwanja wa mapambano?
Samahani Mh. hapo juu niliuliza hili gazeti Jamboleo linamilikiwa nani sikujibiwa.
Naomba kama ukipata muda kama ungetuelezea kuhusu Mh. Spika na changamoto Bungeni (Speed & Standard) kwenye hiki kipindi chake, jinsi anavyoliendesha Bunge je unakubaliana kuwa amefanya mageuzi makubwa mpaka hapa kulikofikiwa ni kwa kujivunia na wewe ukiwa mmojawapo wa wabunge?? je kuhusu mtikisiko Bungeni kwenye Richmond mpaka serikali kupelekea kutotimiza maazimio 23 ya kamati?? na TAKUKURU?? wewe hii unaionaje
Naomba kuuliza, hili gazeti la JamboLeo linamilikiwa na nani, linatoka lini na wapi?? kwani sijawahi kulinunua na kulisoma.
-
Kwangu mimi KAGODA ni CCM kama chama na sio mtu mmoja ambao tumeaminishwa. Nimsema hapa JF toka mwaka 2008, kwamba KAGODA ni CCM! executors wa plan ni suala lingine. Nikutonye tu, i met Balali. I spoke to Balali before he died. If we want to address KAGODA once and for all we have to tackle it holistically. Wabunge wote wa CCM walipata fedha za KAGODA kwenye kampeni zao. I asked for a special audit of CCM campaign funds by CAG to CCM denial. However, i made ammendment to Political Parties bill on party finances and for the future CAG will have the power to audit books of accounts of political parties.
Naamini nimekujibu ndugu yangu
Kwa wale mnapanga kugombea ubunge kama Masanilo, Mwakalinga, John Mashaka na wengineo, hii ni pointi ya kuanzia.
Ishu ni kwamba walijua zimetoka kwa Kagoda? maana hiyo ilikua ni siri sana!!Sasa aje mtu hapa anasema eti Sitta, Selleli, Nkumba, Mwakyembe, Malecela, Kilango na sijui nani ni WASAFI. Wote ni akina MAKONGORO MAHANGA tu kwa njia moja au nyingine.
Jarida lilikuwa likiitwa JAMBO TANZANIA
Mmesikia nyie mlioweka pamba masikioni?
generation-Y: Mbona unarusha shutuma kwamba Zitto alijichagulia maswali rahisi? Kama una swali gumu sana si umuulize? Ndiyo bahati kwamba Zitto tunaye hapa na twaweza kumlima madongo.
Sikuwa na habari kama huyu yupo mbioni, na wewe sikonge karibu kwetu Chabutwa jimbo halina mtu hili.