Mahojiano ya Julius Nyerere 1976 & 1977

Mahojiano ya Julius Nyerere 1976 & 1977

Angekuwa kama Nyerere, leo Mwigulu asingekuwa ofisini. JPM hamfikii Nyerere hata robo.
Nani kasema JPM, amemfikia Nyerere?. JPM huu ndio kwanza ni mwaka wake wa tatu tuu, bado ana miaka mingine 23 ndipo amfikie Nyerere tumpe miaka mingine 20, ili itimie 23 ndipo tumpime kwa haki!.
P
 
Nani kasema JPM, amemfikia Nyerere?. JPM huu ndio mwaka wake wa tatu tuu, bado ana miaka mingine 23 ndipo amfikie Nyerere tumpe miaka mingine 20, ili itimie 23 ndipo tumpime kwa haki!.
P
We jamaa bwana, wenzio Iyo miaka saba iliyobakia kwa uongozi wa huyu mvunja democrasia na umoja wa kitaifa, tunaona kama imebakia karne moja
 
..sasa mlinganishe Mwalimu Nyerere uwezo wake wa kujieleza na Mzee wa "kolapsheni iz kensa."

..wako watu tukiwaambia Mzee viatu vimempwaya wanabisha.
CCM wanakera sana kumlinganisha Nyerere na mkolomije
 
Kizazi cha kina Nyerere kimeshaondoka na kubakia historia njema kwa Tanzania.

Makuzi ya kizazi kile ni tofauti sana na makuzi ya kizazi cha sasa. Watoto wa machifu wa miaka ile ni tofauti na watoto waliokuja kukuzwa baadae.

Huwezi kutegemea kuona hekima kwa kinachofanywa na uongozi wakati jamii yenyewe haina hekima, haina adabu, haijitambui na haitaki kujitambua.
 
Nani kasema JPM, amemfikia Nyerere?. JPM huu ndio mwaka wake wa tatu tuu, bado ana miaka mingine 23 ndipo amfikie Nyerere tumpe miaka mingine 20, ili itimie 23 ndipo tumpime kwa haki!.
P
Hahaa. Ni watu wa kaliba mbili tofauti.
Hata umpe mingine 20, ni sawa na kupalilia mchicha uje kukua kama mbuyu.
 
Back
Top Bottom