Nafikiri ukweli huu ufike wakati ukubalikeUwezo wa kuongoza nacho ni kipaji!
At least he used to confess, ukikosea unakubaliIla ikumbukwe pia kuna nyakati Nyerere hakupendwa kivile hususan enzi za mikingamo na maduka ya ugawaji!
Maisha yalikuwa magumu mno.
huyu Mwandishi alikua anaitwa nani? Bado yupo kweli?
huyu Mwandishi alikua anaitwa nani? Bado yupo kweli?
huyu Mwandishi alikua anaitwa nani? Bado yupo kweli?
Siyo mtunzi wa 'Guberi Mfawidhi', Almarhum John Rutayasingwa, huyo?
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni Kazi Tuu, Ila Pia sio Kama Nyerere!Nyani tutawezaje kupata kama huyu tena?!
Mimi mpaka sasa ninaamini hakuna kiongozi iwe serikalini au ktk vyama vya siasa ambae anamfikia kifikra, na kiupeo hata kwa robo (25%) tu.
Kama yupo nitajie...
Nyerere angekuwa na tamaa ya mali....angejimilikisha nusu ya Tanzania yote....Alikuwa wa kipekee! Kuongoza nchi iliojaa MAZWAZWA kwa miaka 23 na wala hakuwaza kutupiga na kukombeleza! RIP Mwl
Alikuwa na pepo wa Umasikini ndio maana tukawa masikini angalia nchi zote zinazotawaliwa na Viongozi wanaosema hawataki mali nazo ni masikini na kinyume chakeNyerere angekuwa na tamaa ya mali....angejimilikisha nusu ya Tanzania yote....
Mie ambacho kinanifanya nimuone ni wapekee....pamoja na madaraka na influence kubwa aliokua nayo....hakuwa anatisha...yaani watu walikua wanatamani na wanapenda kumsikiliza, hakua mbabe....hakuogofya alikua ni kama baba kweli,mlezi.
Miaka hii watu wanataka waogopwe kama Miungu watu.....watu wanaogopa hiyo mikutano na watawala wa sasa manake hawatabiliki....akighafirika hapohapo anaweza kukufuta kazi..au ukimkwaza sana ukashupaa nissani nyeupe haikuachi....
Nyerere was a philosopher....
Kweli. Ndio maana Congo ni tajiri sana.Alikuwa na pepo wa Umasikini ndio maana tukawa masikini angalia nchi zote zinazotawaliwa na Viongozi wanaosema hawataki mali nazo ni masikini na kinyume chake
Mbowe!.......... hahahaa kwa kukaa muda mrefu kama mwenyekiti wa chama!Nyani tutawezaje kupata kama huyu tena?!
Mimi mpaka sasa ninaamini hakuna kiongozi iwe serikalini au ktk vyama vya siasa ambae anamfikia kifikra, na kiupeo hata kwa robo (25%) tu.
Kama yupo nitajie...
Nyani Tafadhali mada mzuri unataka makamanda waanze kutoa michango ya hovyo. Tumia lugha mzuriUmempenda? Unataka kumpa tigo?
Chagueni serikali ya CCM itakayowafanyizia.....Le Mutuzz haaaa has,le kokobanga Bomayeeee,cintweyeeen ndo think tank wa Bashite aka Maliya Mungu wa Tanzania ya Masifuri...sasa mlinganishe Mwalimu Nyerere uwezo wake wa kujieleza na Mzee wa "kolapsheni iz kensa."
..wako watu tukiwaambia Mzee viatu vimempwaya wanabisha.
Ilipinda kama risasi iliyomuua Aquiline.Baba Nyerere umetuachia madubwasha gani haya hapo Lumumba?!...
Kuna mtu anasema huku hapangiwi. Ananyoosha nchi. Nchi yetu ilipinda kuelekea sijui magomeni au kwa mtogole..
Dah..