Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,100
- 7,820
Mkuu Mwanza Nzuri, wape pole!. Tumeamua tumpe miaka 20, na akimaliza, Makonda ndie ampokee.
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
Na akiingia dogo, wale wanaomuona Magu kama ...fulani, watamuona kumbe Magufuli alikuwa malaika!.
P
Hahaha, ,itabidi tuhame nchi