Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,021
- 142,920
Kichwa Cha Mara
Wote waliomfatia niwabinafsi tu
Wewe ni kamanda?
Ngoja nipate ujumbe kutoka kwa baba wa Taifa letu.
Hawawezi kumfikia labda awamu zote 5huyu kichwa kimoja tu ni sawa na mawaziri wote wa masifuri!
Nyani tutawezaje kupata kama huyu tena?!Kiongozi ambaye huwezi kujizuia kujivunia!
Nyani tutawezaje kupata kama huyu tena?!
Mimi mpaka sasa ninaamini hakuna kiongozi iwe serikalini au ktk vyama vya siasa ambae anamfikia kifikra, na kiupeo hata kwa robo (25%) tu.
Kama yupo nitajie...
Baba Nyerere umetuachia madubwasha gani haya hapo Lumumba?!...Hawawezi kumfikia labda awamu zote 5