Uchaguzi 2020 MAHOJIANO: Tundu Lissu na VOA ya kusimamishwa kampeni na NEC, anakubaliana na Magufuli kuhusu COVID19

Mshaurini ndugu yenu kuna maisha baada ya uchaguzi,asisahau hilo.

Akumbuke kuanzia tar 29 oct hatotakiwa kusikika mtu akisema fye fye fye

na asisahau alipotoka na muhimu akumbuke ana familia na tayari kashaingia Nchini.
Huu upuuzi hawez kuukubali mtu aliyekufa na kufufuka utakua humjui?Nan angethubutu kurudi kwa mirisas yote ile
 
Huyo si attention seeker, werevu tunachukulia alitaka "kuuzia" sura tuu.

October 28 kura zote kwa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI

Bora attention za Lissu kuliko za mkemia za kula mahindi barabarani kama baboon.
 
Huyu milembe walikosea sana kumruhusu aondoke maana nikiangalia kwa mbali bado naona kuna shida kwenye akili yake.

Eti anasema watanzania maelfu kwa maelfu wanahudhuria mikutano yake hivyo anaamini kuwa wote wanao kuja kwenye mikutano yake lazima wampigie kura,huyu mtu ni wa kupimwa akili,maelfu kwa maelfu wakati wapiga kura wako mamilioni kwa mamilioni,sasa hao maelfu wanatosha kumpa ushindi dhidi ya mamilioni wa CCM? Jibu ni hapana

Huyu mtu kwa waliokaribu yake wanapaswa wamuambie kuwa si kila anayeenda kwenye mikutano yake ni mfuasi wake wengine wanakuja kuangalia mashavu yake yalivyonenepeana,mimi binafsi nimehudhuria mikutano ya Lissu zaidi ya Mara nne lakini mimi si mfuasi wake na nilitumia nauli kubwa kuhufutilia mikutano yake katika mikoa mitatu lakini hata kama jua litabadili uelekeo Leo siwezi mpa kura yangu lissu

Aache kupotosha huyu bwana,waliomtuma awaambie watanzania wamemshitukia.
Ndio kweli unahisi wewe unaakili na Lissu ni kichaa?
 
Mshaurini ndugu yenu kuna maisha baada ya uchaguzi,asisahau hilo.

Akumbuke kuanzia tar 29 oct hatotakiwa kusikika mtu akisema fye fye fye

na asisahau alipotoka na muhimu akumbuke ana familia na tayari kashaingia Nchini.
Wewe ni mpuuzi mmoja tu kama walivyo wapuuzi wa aina yako. Mnajaza server za JF bure na hii mipasho ya kipumbavu.

Hivi haiwachoshi kuirudiarudia mar kwa mara?
 
Pole kwa mimba yako changa jitahid kutafuta maembe mabichi yatakuondolea kichefuchefu
Huyu milembe walikosea sana kumruhusu aondoke maana nikiangalia kwa mbali bado naona kuna shida kwenye akili yake.

Eti anasema watanzania maelfu kwa maelfu wanahudhuria mikutano yake hivyo anaamini kuwa wote wanao kuja kwenye mikutano yake lazima wampigie kura,huyu mtu ni wa kupimwa akili,maelfu kwa maelfu wakati wapiga kura wako mamilioni kwa mamilioni,sasa hao maelfu wanatosha kumpa ushindi dhidi ya mamilioni wa CCM? Jibu ni hapana

Huyu mtu kwa waliokaribu yake wanapaswa wamuambie kuwa si kila anayeenda kwenye mikutano yake ni mfuasi wake wengine wanakuja kuangalia mashavu yake yalivyonenepeana,mimi binafsi nimehudhuria mikutano ya Lissu zaidi ya Mara nne lakini mimi si mfuasi wake na nilitumia nauli kubwa kuhufutilia mikutano yake katika mikoa mitatu lakini hata kama jua litabadili uelekeo Leo siwezi mpa kura yangu lissu

Aache kupotosha huyu bwana,waliomtuma awaambie watanzania wamemshitukia.
 
Huyo Lissu kama kweli ana wafuasi waaminifu, Leo tungewaona barabarani wakiandamana kupinga kupewa adhabu na NEC. Lakini wapi?
 
Huu upuuzi hawez kuukubali mtu aliyekufa na kufufuka utakua humjui?Nan angethubutu kurudi kwa mirisas yote ile

Uko sawa kabisa, hiyo ni moja kati ya Dalili KUU za mental disorder (ugonjwa wa akili), Binadamu wa kawaida na mwenye akili timamu kama ulivyosema risasi moja tu inamtosha kujitafakari kuhusu maisha yake na Familia yake kwanza, ...
 
Back
Top Bottom