Uchaguzi 2020 MAHOJIANO: Tundu Lissu na VOA ya kusimamishwa kampeni na NEC, anakubaliana na Magufuli kuhusu COVID19

Mshaurini ndugu yenu kuna maisha baada ya uchaguzi,asisahau hilo.

Akumbuke kuanzia tar 29 oct hatotakiwa kusikika mtu akisema fye fye fye

na asisahau alipotoka na muhimu akumbuke ana familia na tayari kashaingia Nchini.
Ushenzi wenu unaisha October usifikiri mambo yatakuwa kama yalivyokuwa kabla ya Lissu.
 
Jamaa anakataa kutoa Credit kwa Magufuli kwa kuongoza mapambano dhidi ya Covid 19.

JPM ni mtu makini sana kuliko Lissu anavyodhania.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Watanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
Acha ujinga mbona warundi na wanyarwanda wako kibao wameajiriwa hapa nchini na wanawasumbua Sana hata wenye nchi.anzisheni uhakiki wa uraia kwanza.Tundu Lisu ni Mnyatulu wa Singida. Ujinga huo huo mliuanzisha kwa Nyarandu. Mbona Jenerali siyo mtz na shehe Ponda ni mtanzania au tuwaanike wote? Nenda Kigoma Kama utamkuta mtz halisi halafu ndio utajiongeza kichwani mwako

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mshaurini ndugu yenu kuna maisha baada ya uchaguzi,asisahau hilo.

Akumbuke kuanzia tar 29 oct hatotakiwa kusikika mtu akisema fye fye fye

na asisahau alipotoka na muhimu akumbuke ana familia na tayari kashaingia Nchini.
Haya ni maneno ya vitisho..kuna watu mnaona kama nchi hii ni yenu na wajomba zenu..!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Huyu milembe walikosea sana kumruhusu aondoke maana nikiangalia kwa mbali bado naona kuna shida kwenye akili yake.

Eti anasema watanzania maelfu kwa maelfu wanahudhuria mikutano yake hivyo anaamini kuwa wote wanao kuja kwenye mikutano yake lazima wampigie kura,huyu mtu ni wa kupimwa akili,maelfu kwa maelfu wakati wapiga kura wako mamilioni kwa mamilioni,sasa hao maelfu wanatosha kumpa ushindi dhidi ya mamilioni wa CCM? Jibu ni hapana

Huyu mtu kwa waliokaribu yake wanapaswa wamuambie kuwa si kila anayeenda kwenye mikutano yake ni mfuasi wake wengine wanakuja kuangalia mashavu yake yalivyonenepeana,mimi binafsi nimehudhuria mikutano ya Lissu zaidi ya Mara nne lakini mimi si mfuasi wake na nilitumia nauli kubwa kuhufutilia mikutano yake katika mikoa mitatu lakini hata kama jua litabadili uelekeo Leo siwezi mpa kura yangu lissu

Aache kupotosha huyu bwana,waliomtuma awaambie watanzania wamemshitukia.
hata kichwa boga wenu nae wafuasi wake wengi ni wanafunzi tena wa primary fala ww
 
Back
Top Bottom