Miaka 100 toka Abdulwahid Kleist Sykes kuzaliwa tarehe 24 Januari 1924

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,921
30,266
Katika hotuba yake ya kuaga Diamond Jubilee Hall mwaka wa 1985 Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alimtaja Abdul Sykes.

Mwalimu alipita njia tu hakumweleza Abdul Sykes alikuwa nani katika kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.

Naweka kipande kifupi kutoka mahojiano niliyofanya na Rashid Mtagaluka wa MUM FM mwaka wa 2018 kuadhimisha miaka 50 ya kifo Cha Abdul Sykes:

Hawa wamekula raha bana

Hivi ile Sykes tours bado ipo

Maana zamani wakati tunataka kusafiri

Kile kitabu cha njano wao ndy walikuwa watoaji

Ova
 
Katika hotuba yake ya kuaga Diamond Jubilee Hall mwaka wa 1924 Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alimtaja Abdul Sykes.
Mwaka huo wa 1924 mwalimu Nyerere alikuwa na umri wa miaka 2 tuu.
Wewe ulikuwepo?
Au ni typing error?
 
Mwaka huo wa 1924 mwalimu Nyerere alikuwa na umri wa miaka 2 tuu.
Wewe ulikuwepo?
Au ni typing error?
Anti...
Hilo kosa nililiona sehemu nyingine na nikasahihisha ila hapa JF nilisahau.
Ahsante nimerekebisha.
 
Katika hotuba yake ya kuaga Diamond Jubilee Hall mwaka wa 1985 Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alimtaja Abdul Sykes.

Mwalimu alipita njia tu hakumweleza Abdul Sykes alikuwa nani katika kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.

Naweka kipande kifupi kutoka mahojiano niliyofanya na Rashid Mtagaluka wa MUM FM mwaka wa 2018 kuadhimisha miaka 50 ya kifo Cha Abdul Sykes:

Abdul Sykes si chochote si lolote katika nchi yetu ya maziwa na asali.
 
Abdul Sykes si chochote si lolote katika nchi yetu ya maziwa na asali.
Wamekula raha Sana tanzania kipindi chao
Naona familia ya sykes iliyokuja wameahindwa kuendeleza utajiri,Mali

Ova
 
Abdul Sykes si chochote si lolote katika nchi yetu ya maziwa na asali.
Huyo mtu unayemuona wa maana na hadi unatamani kumuabudu ndiye si chochote si lolote alikaribishwa tu kwenye chama na kuaminiwa na wenzake lakini mwishowe alipofanikiwa akawageuka wenzake.
 
Back
Top Bottom