Mahojiano na Kafulila yafutwa Clouds TV

Mahojiano na Kafulila yafutwa Clouds TV

huyu Ruge ivi angeropoka kama Makonda ndo anakuja kuhojiwa??
 
Ruge anatafuta cheo, kwa stile hii akaze kamba ndivyo atakavyo mtoa vyeo.
 
360 ndio Kipindi kinachopendwa na "First Family" ya nchi hii.Yaani pale panapokuwa na "Jambo Tanzania" kule TBC,huku panakuwa na Clouds360.Familia "numero uno" ilithibitisha kuwa yenyewe hutazama 360 na si Jambo Tz.Lazima wageni wawe ni wale wenye kumpendeza mkuu.Kuleta wenye "kumjaribu jaribu" na kumkwaza mkuu na kupoteza watazamaji wenye hadhi ya "TOP VIP".

Mleta uzi umemchongea Kija bila kujua,maana mqmbo yake ya kiofisi aliyokushirikisha kama Rafiki/Mume/Mchepuko au jirani umeyaanika bila nguo ya ndani.Sasa ni wazi kuwa hataaminika tena,kulikuwa na haja ya kusema alyekwambia ni Kija?Kuna haja ya kuelezea kuwa Ruge alituma grp la WhatsApp?Kwani ungeongelea "kiujumla" bila majina ujumbe usingefika?

Huwezi kuitenganisha Clouds na Chama Dola,tena yule jamaa alivyopata U-DED Mbulu,hao waliobaki ndio wamepagawa balaa.. wanawaza nafasi ya Mkumbo wa Mkinga tu
 
By the way mimi nimeongea na Kija Yunus..producer wa icho kipindi.. nasikia yeye ndo alomleta Mh Kafulila, lakini hakuwa amteoa taarifa kwa program manager wa cloudtstv.. afu yule program manager akapost kwenye group la clouds kuhoji kwanini wagen kabla ya kuja taarifa hazitolewi sikuiz... nasikia Ruge akamind..akauliza kama form za wageni wa siku iyo yupo Kafulila akaambiwa hajaandikwa.

Akapiga simu kwa Kija Yunus...nasikia akamchana sana.. ila kija akamwambia alimpigia sim program manager na ruge wote hawakupokea jana yake. Kilichotokea ile crew ya 360 ikapanick..kija akmfuata kafulila wakaingia ofisn kwa program manager alivyotoka akaondoka. Kija anasema yeye ndo analetaga wageni. Issue ya kafulila kusema maelekezo ya juu ni ruge uyo...ila nasikia Ruge alivyofika ofisin akamwambia kija kuwa hakusema kafulila asifanye interview ila alikasirika taratibu hazikufuatwa.

Kafulila aliambiwa kesho alhamis aje kwenye show waaihirishe ya leo akasema anasafiri.

Hiyo ndo story ilivyokuwa.

cc
Mhariri
Content Quality Controller
 
Tembo anapambana sisimizi kwa kujipiga piga chini kukata miti na kufukua nchi atimae anakufa mwenyewe.Awamu ya tank HAPA KAZI TU
 
By the way mimi nimeongea na Kija Yunus..producer wa icho kipindi.. nasikia yeye ndo alomleta Mh Kafulila, lakini hakuwa amteoa taarifa kwa program manager wa cloudtstv.. afu yule program manager akapost kwenye group la clouds kuhoji kwanini wagen kabla ya kuja taarifa hazitolewi sikuiz... nasikia Ruge akamind..akauliza kama form za wageni wa siku iyo yupo Kafulila akaambiwa hajaandikwa.

Akapiga simu kwa Kija Yunus...nasikia akamchana sana.. ila kija akamwambia alimpigia sim program manager na ruge wote hawakupokea jana yake. Kilichotokea ile crew ya 360 ikapanick..kija akmfuata kafulila wakaingia ofisn kwa program manager alivyotoka akaondoka. Kija anasema yeye ndo analetaga wageni. Issue ya kafulila kusema maelekezo ya juu ni ruge uyo...ila nasikia Ruge alivyofika ofisin akamwambia kija kuwa hakusema kafulila asifanye interview ila alikasirika taratibu hazikufuatwa.

Kafulila aliambiwa kesho alhamis aje kwenye show waaihirishe ya leo akasema anasafiri.

Hiyo ndo story ilivyokuwa.

sawa Edson Kamogo tumekuelewa
 
Msimsingizi ruge ni Mimi nimeamuru huyo tumbili asiojiwe.Mkiniletea fyokofyoko mtakipata cha moto.
 
hebu acha uongo wewe haiwezekani eti hata kabla ya nusu saa baby kabae alikuwa anasema kafulila anakuja eti wewe useme program manager alikuwa hajui!
any way kama ni ruge basi amejipunguzia credibility sana

samahani hivi wewe ndio mkurugenzi mteule nini!
 
Back
Top Bottom