Mahojiano na Kafulila yafutwa Clouds TV

Mahojiano na Kafulila yafutwa Clouds TV

Aiseee Ze NDINDINDI TOLIIIIIIIIIIIIIIIIIII,Mzimu wa Escrow na IPTL unawatafuna SISISEMU and Co.
 
  • Thanks
Reactions: Gut
halafu nilikuwa nimejiandaa kweli.....sasa hapo kila mtu ndio ataelewa kama kuna kitu kimejificha!
Ni heri wangemwacha aongee huenda watu tusinge lipa attention ya kutosha na jambo lingekuwa la kawaida....

Na clouds nao wameshindwa hata kuomba radhi kwa watazamaji.....
Inferiolity complex ya jpm never seen before.....
 
Halafu eti mnabana pua kwamba mkulu anapambana na ufisadi. Kipi kinafanya muogope wasemakweli ili hiyo mahakama ya mafisadi ipate urahisi wa kujua wezi?
mkulu hajawahi kulipua bomu lolote la ufisadi tangu akiwa mbunge wa kawaida mpaka kawa waziri
 
Majipu yameshindikana sasa ni kuyaficha na kuyatekenya.Mtumbua majipu kajificha uvunguni anaona haya kwa mbwembwe.
 
Ila ni kweli kipindi hiki nchi inaitaji sana utulivu, sasa Kafulila anamistress mingi angeweza kuongea vitu siyo kwanza akiponza 360 bule.
 
Hawa ndo wale radio yao iliyofungiwaga?

Kama yes sishangai kwanin yamefutwa!
 
naona hata clouds radio walikuwa wanahoji wanasiasa akina mtatiro,hashim rungwe.....ghafla.vikasitishwa

ninachoona mimi,huwezi kuzuia mwanga wa jua kwa kutumia ungo au sinia
Mzee Lowasa alisema huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono, kilichomkuta anajua Regina.
 
Back
Top Bottom