Mahojiano na Kafulila yafutwa Clouds TV

Mahojiano na Kafulila yafutwa Clouds TV

1F505734-B7E2-4242-8AFF-3AC4BA034378_w610_r0_s.jpg
 
nina swali kwake, baada ya kuwa mbunge wa mahakam sasa sio mbunge tena ni mwanachama wa nccr au ndo mkulima mwenzangu
 
Afanye namna nyingine mh.kafulila tumsikilize. Kwakuzuiwa kwake imemuongezea point na imemtangaza Sana. Natumaini watu wengi wanataka kujua anachotaka kukiwakilisha.
 
Kafulila ana tafuta kiki tuu
Nilikuwa naangalia, Babbie akasema baada ya break watakuwa na kafulila ambaye yuko studio tayari, cha ajabu break ilikuwa ndefu huku ikipigwa miziki tu! Sam akimaliza magazeti huwa habari yake imeishia hapo, ikabidi Leo arudishwe tena kuleta habari za globe, hapo nikajua kuna mchezo unafanyika
 
By the way mimi nimeongea na Kija Yunus..producer wa icho kipindi.. nasikia yeye ndo alomleta Mh Kafulila, lakini hakuwa amteoa taarifa kwa program manager wa cloudtstv.. afu yule program manager akapost kwenye group la clouds kuhoji kwanini wagen kabla ya kuja taarifa hazitolewi sikuiz... nasikia Ruge akamind..akauliza kama form za wageni wa siku iyo yupo Kafulila akaambiwa hajaandikwa.

Akapiga simu kwa Kija Yunus...nasikia akamchana sana.. ila kija akamwambia alimpigia sim program manager na ruge wote hawakupokea jana yake. Kilichotokea ile crew ya 360 ikapanick..kija akmfuata kafulila wakaingia ofisn kwa program manager alivyotoka akaondoka. Kija anasema yeye ndo analetaga wageni. Issue ya kafulila kusema maelekezo ya juu ni ruge uyo...ila nasikia Ruge alivyofika ofisin akamwambia kija kuwa hakusema kafulila asifanye interview ila alikasirika taratibu hazikufuatwa.

Kafulila aliambiwa kesho alhamis aje kwenye show waaihirishe ya leo akasema anasafiri.

Hiyo ndo story ilivyokuwa.
 
Shame on clouds tv, tupaze sauti kukishutumu
 
By the way mimi nimeongea na Kija Yunus..producer wa icho kipindi.. nasikia yeye ndo alomleta Mh Kafulila, lakini hakuwa amteoa taarifa kwa program manager wa cloudtstv.. afu yule program manager akapost kwenye group la clouds kuhoji kwanini wagen kabla ya kuja taarifa hazitolewi sikuiz... nasikia Ruge akamind kshenzi..akauliza kama form za wageni wa siku iyo yupo kafulila akaambiwa hajajaandikwa. Akapiga simu kwa Kija yunus.. nasikia akamchana sana.. ila kija akamwambia alimpigia sim program manager na ruge wote hawakupokea jana yake. Kilichotokea ile crew ya 360 ikapanick..kija akmfuata kafulila wakaingia ofisn kwa program manager alivyotoka akaondoka. Kija anasema yeye ndo analetaga wageni. Issue ya kafulila kusema maelekezo ya juu ni ruge uyo.. ila nasikia Ruge alivyofika ofisin akamwambia kija kuwa hakusema kafulila asifanye interview ila alikasirika taratibu hazikufuatwa. Kafulila aliambiwa kesho alhamis aje kwenye show waaihirishe ya leo akasema anasafiri. Hiyo ndo story ilivyokuwa.

Hili ni enou zuri la utafiti, na unaweza pata hela nyingi toka UNDP
 
Back
Top Bottom