Mahojiano na Kafulila yafutwa Clouds TV

Mahojiano na Kafulila yafutwa Clouds TV

Magufuli ni mmoja wa wanufaika wa ESCROW na wenzake wakina pro muhongo,, ameogopa kuvuliwa nguo,,, pia clouds ni share holder wa kikwete
 
Mamlaka ya JUU ya kupanga ratiba za vipindi kwa siku husika (NYIE MLIZANI MAMLAKA GANI)
 
Kafulila nae, hivi kweli uwe na jambo la maana kuongea uende clouds TV? hiki kituko. Haya pole yako
Wewe hujui kama mkuu wa kayo ndo hua anaangalia hicho kipindi asubuhi asubuhi, na mpaka simu hupiga? Ndo sehem sahihi hasa aliyochagua kuliko sehemu yoyote, maana na mkuu wanchi angeona na kusikia hapo ambaye ndo mlengwa mkuu
 
'hata akishuka malaika toka mbinguni na kukaa ccm japo kwa siku mbili,siku akija kuchukuliwa kurudi mbinguni atakutwa ameshabadilika kuwa shetani' By Mh. Freeman Mbowe mbunge wa Hai.
 
mkulu anakakimbiza katumbili atakawezea wapi? kako tawi hili,kako tawi lile,kako chini
Unajua nimeshangaa sana? Yaani mtu mzima unakaogopa ka-Tumbili tu mpaka unatoa maagizo kama huna kichwa?
 
Siasa chafu ndio adui number mbili tanzania
 
Anaandika Davidi Kafulila

Kipindi clouds360 nilichoalikwa leo kuanzia sambili unusu asubuhi kwajili ya kujadili masuala yanayoendelea nchini kama nilivokuwa nimewajulisha jana ambacho kilikuwa kikitangazwa tangu jana kimefutwa nikiwa studio tayari kwa maelekezo toka juu! P

Poleni mliokuwa mkisubiri kunifuatilia!

David Kafulila
Wala sioni cha ajabu hapo,
Clouds TV na TBCCM ni "dugu moja"
 
Wenye IQ ndogo na vichaa ndio wapenzi wa hivi channel.
 
Anaandika Davidi Kafulila

Kipindi clouds360 nilichoalikwa leo kuanzia sambili unusu asubuhi kwajili ya kujadili masuala yanayoendelea nchini kama nilivokuwa nimewajulisha jana ambacho kilikuwa kikitangazwa tangu jana kimefutwa nikiwa studio tayari kwa maelekezo toka juu! P

Poleni mliokuwa mkisubiri kunifuatilia!

David Kafulila
Wamemrudishia gharama zake?
 
Wewe hujui kama mkuu wa kayo ndo hua anaangalia hicho kipindi asubuhi asubuhi, na mpaka simu hupiga? Ndo sehem sahihi hasa aliyochagua kuliko sehemu yoyote, maana na mkuu wanchi angeona na kusikia hapo ambaye ndo mlengwa mkuu
Umetisha mkuu[emoji3]
 
Nashindwa kuelewa kama kweli mtu unatenda yote kwa haki...hofu ya nini_hata kama ni kukosea kuwe ni ndani ya haki.
Nafikiri kuna madhambi mengi ndio maana wanaogopa hawa watu wa juu.
Niombeeni kwa naniii
 
Back
Top Bottom