Kigoma 2015
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 371
- 93
Jana ktk kipindi cha Power breakfast walitangaza kuwa watakua na mahojiano LIVE leo asubuh na waziri wa elimu kwa hyo watu watume maswali yao yatajibiwa.
Cha kushangaza ni kuwa wakati wao wakitangaza kua wapo LIVE na Dr Shukuru Kawambwa mimi nimemuona LIVE bungeni tena akijibu swali.
G. HANDO na mwenzako BABRA hebu acheni kuwaongopea wananchi. Huo ni UHUNI.
Bunge limeanza saa tatu power break...... Ni kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa mbili na dak 59...... , clouds tuambieni kama mmedanganya umma au mlikuwa dodoma leo asubuhi physical au kwa teknolojia....
Jana ktk kipindi cha Power breakfast walitangaza kuwa watakua na mahojiano LIVE leo asubuh na waziri wa elimu kwa hyo watu watume maswali yao yatajibiwa.
Cha kushangaza ni kuwa wakati wao wakitangaza kua wapo LIVE na Dr Shukuru Kawambwa mimi nimemuona LIVE bungeni tena akijibu swali.
G. HANDO na mwenzako BABRA hebu acheni kuwaongopea wananchi. Huo ni UHUNI.
Kipindi leo kimekwisha zaidi ya saa 9:30 asubuhi na wakati huo Kawambwa eti alikua LIVE na wakati huo nimemuona LIVE bungeni akijibu swali. Nikashangaa kuwa LIVE huku na huku
Yan watu humu wanasikiliza clouds ili waje kuongeza idadi za posts zao JF..Si muache kusikiliza kwani radio iko moja?acheni unafiki clouds watawanyonya ****** yoo...