Kwa kweli hii ishu ya babu ni umiza kichwa!
Babu is a huge threat to the Church Business.
katav umenena,mi naamin babu anawasiliana na MIUNGU(MIZIMU) na si MUNGU,
yesu mwenyewe alimwita mungu baba john 2:16ellet,mungu hakuwah kuwa na mtoto,hakuzaa wala hakuzakiwa so yesu si mtoto wa mungu
yesu mwenyewe alimwita mungu baba john 2:16
Puzzle solved!
Yesu ni Mungu
Huyu mzee anatakiwa akapimwe akili!
kwanini kumsikitikia Babu. . Nafikiri wakusikitikiwa na maelfu ya WaTZ WANAOMIMINIKA KULE SAMUNGE. . !namsikitikia babu! Miaka yote ya uchungaji wake anashindwa kupambanua ni roho ipi iliyomvaa?
kwanini kumsikitikia Babu. . Nafikiri wakusikitikiwa na maelfu ya WaTZ WANAOMIMINIKA KULE SAMUNGE. . !
kanisa nalo ina maana halina waonaji? Mbona haihitaji maarifa sana ndo ujue aina ya roho iliyomvaa? Au hata bible hawahangaiki nayo?
nyenyere ndo umechanganyikiwa kabisa,yaani mungu anazaliwa na binadamu,maana mama yake yesu ni mariam,halafu mungu anakufa?mmmmmmh,
Mwasapila amefanya kipi zaid hadi awe na mawasiliano na mungu kiasi hiko?
Maana amesisitza kua anakeep intouch na mungu zaidi ya tujuavyo,