Mahojiano kati ya Mungu na Mwasapila

lo, kazi ipo. so kama zote bado anazo basi kishakuwa bonge la milionaire sasa hivi!

jamani, vikombe hivi?, Mungu atuhurumie wapendwa
..Hilo jambo haliwezekani la kuwa milionea kwa kuchaji watu Sh.500 unless anaifanya hiyo kazi kwa miaka mingi. Chukulia hiyo kazi tangu ameianza ametoa kikombe kwa watu 100,000x500= 50,000,000 na kwa hali ilivyo ni wazi hajaweza kufikisha watu laki 1, so sio rahisi kuyafikia hayo mamilioni jamani. Na kadri siku zinavyosonga mbele msisimko wa kwenda kwa babu miongoni mwa watu unapungua na itafika wakati anaweza kupata watu 10 kwa siku maana akili za watu zinaanza kufunguka taratibu na kuelewa kuwa ni kupoteza pesa na muda bure.
 
ELLET,yesu si mwana wa mungu,si majini,si mtume muhammad, si yeyote ambae anasema yesu ni mwana wa mungu,hata MUNGU hajasema hivyo,je alioa au ni mtoto wa nje ya ndoa?
Tuzungumzie kuhusu mwasapila ndo mjadala wa hapa
YESU kuitwa mwana wa MUNGU haimaanishi kuna mahusiano ya kibaolojia yaani, kuna tendo la ndoa lilifanyika na YESU akapatikana.MUNGU si mwanadamu na wala hachunguziki.Tunavyomfahamu huenda ni kwa asilimia chache sana, ambazo hata hazipimiki.Chamsingi wewe baki na imani yako, na wengine waache wabaki na imani yao.Siku ya hukumu ndo itajulikana YESU ni nani na MUNGU ni nani.Ila kwa imani yangu, YESU, ni sehemu ya MUNGU, na hakuna kitu kinafanyika bila kupitia kwa YESU.
 
Back
Top Bottom