Mahojiano kati ya Mungu na Mwasapila

Babu Babu babu! Mdudu gani huo? uliochukua nafas kubwa ktk Vinywa vya watanzania?
Ndie yule Alieoteshwa na JINI ati ni Mungu...? Tufikirie mengine jaman...
 
kanisa nalo ina maana halina waonaji? Mbona haihitaji maarifa sana ndo ujue aina ya roho iliyomvaa? Au hata bible hawahangaiki nayo?
 
kanisa nalo ina maana halina waonaji? Mbona haihitaji maarifa sana ndo ujue aina ya roho iliyomvaa? Au hata bible hawahangaiki nayo?

shaban,hao wote ni vpofu,si unaskia wanajiita MANABII NA MITUME?sasa huo mtandao wanaowasiliana na babu ni upi?
 
nyenyere ndo umechanganyikiwa kabisa,yaani mungu anazaliwa na binadamu,maana mama yake yesu ni mariam,halafu mungu anakufa?mmmmmmh,

Huyo babu mumfuataye Samunge amehubiri hilo kwa miaka mingi tu, kabla hajatekwa na himaya ya mapepo. Si unasikia yanavyotamba kwenye foleni za wagonjwa wake?
 
Huduma ya babu si ya muda mrefu kuanzia leo hii ni ya kishetani n lazima ife kwa jina la YESU.aliyowagonga mihuri kwa vikombe wanamtosha.
 
YOH;20:17- Yesu akamwambia usinishike ;kwa maana sijapaa kwenda kwa BABA ,lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie , ninapaa kwenda kwa BABA yangu naye ni BABA yenu, kwa MUNGU wangu naye ni MUNGU wenu , KWA HIYO UNATAKA TUAMINI KUWA WANA WA ISLAEL NAO NI MIUNGU.....?
 
Masapila tapeli mkubwa huyu mungu atamlaani kwa kudanganya nakuibia watu nakusababisha watu wafe kwa mateso yahuko kwa huyu shetani mkubwa masapila,we umekua nani mpk uongee na mungu?hata mitume hawakuwahi kuongea namungu sembuse wewe tapeli?waibie wajinga kwa werevu huwapati.
 
Back
Top Bottom