Mahojiano kati ya Mungu na Mwasapila

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
''Mungu alisema na mimi kuhusu gharama za dawa na akasema kila atakayekunywa dawa ni Sh500 tu ya tanzania na nilipomuuliza kuhusu wageni alisema dola moja''.Anaeleza mchungaj Mwasapila.
Lakini anasema yeye hakuamini kuhusu kiwango hicho na alipomuuliza Mungu alimletea katika ndoto noti ya sh 500 na kumwonyesha pande zote mbili za noti hiyo akimthibitishia maono hayo.
Alipomhoj Mungu kuhusu mtunza fedha,mwasapile anasema ''Nilimuuliza mungu ni nani atakuwa mtunzaji wa fedha hizo na akanionyesha mtu atakayezitunza''.Mtu huyo ni ni muumini wa KKKT USHARIKA WA SONJO,ILA HAKUTAJA JINA LAKE.
Mwasapila anasema fedha zote zinatunzwa na kwamba Mungu alisema ana kazi nazo,anabainisha kuwa Mungu bado hajatoa tangazo kuhusu ni kazi gani fedha hizo zitafanya.
''Nasubir tangazo la mungu kwamba fedha hizo zitafanya kazi gani,ila yeye alisema zitunzwe ana kazi nazo''.Anabainisha Mwasapila

Ila alienda mbali na kusema'Pengine anataka fedha hizo zitumike kujenga sehemu mpya ambayo tutahamishia huduma,lakini sijui maana alisema atanambia matumizi yake kwa sasa siwezi kujua''

KUHUSUU MAWASILIANO NA MUNGU
Huku akitabasamu mwasapila anasema
''Aaah......yaaani Mungu anasema na mimi mara nyingi na tena ananitia moyo sana katika huduma hii ninayoifanya,hata ninapokuwa na maswali kuhusu jambo fulani katika utendaji wangu yeye ananiambia mambo mengi sana''.
Huyu ndo mwasapila
source Mwananchi la jumamos april 9,2011.
Nawasilisha
 
kweli vituko na mauzauza havitaisha!

inasemekana kuwa katika hizo 500/-:

200/- za kanisa

200/- za wachumngaji wanaomsaidia

100/- zake mwenyewe

sasa kumbe zote zake? sasa ile breakdown ya awali watu waliitoa wapi?

eti na mungu alimteulia mweka hazina!

jamani, huyu nabii wa kikombe huyu!!!
 
miss amekana suala la mgao,alipoulizwa amekana kabisaaa
hayo ni maneno yaliyozagaa mtaani,amesema hadi mungu akimwambia ndo atajua zifanyie nin?
 
duh,hivi Mungu huyo anapatikana kwa namba gani vile?,au email?. Jaman kama vp m2chulie contacts zake kwa huyo m2mishi mwaisapile ili nasi 2wasiliane na Mungu jaman
 
lo, kazi ipo. so kama zote bado anazo basi kishakuwa bonge la milionaire sasa hivi!

jamani, vikombe hivi?, Mungu atuhurumie wapendwa
 
Hapa kuna jambo. Mungu Muumba mwenyewe anasema kuna miungu mingine, sasa huyu mungu gani? Kama ni Mungu Muumba, wa mbinguni then babu ni muongo. Mungu Baba, hana mawasiliano yoyote ya moja kwa moja na sisi viumbe ila tu kwa kupitia kwa Mwanaye Yesu Kristo. Kumbunkeni Shetani pia anajifanya Malaika wa nuru. And no wonder! For Satan himself transforms himself into an angel of light (2 Corinthians 11:14).
Babu lazima atuhakishe kwamba huyo aneye wasiliana naye sio Shetani, kama alivyo fanya Saul katika 1 Samuel 28:3-25.
Just because a person, or a spirit, accurately predicts (kuponya magonjwa) some pending event, this is no proof of divine inspiration.​
 
mwasapila anasema mungu humpa nguvu kila siku aamkapo ndo maana hachoki,ila huwa na uchovu wa kawaida tu
 
duh,hivi Mungu huyo anapatikana kwa namba gani vile?,au email?. Jaman kama vp m2chulie contacts zake kwa huyo m2mishi mwaisapile ili nasi 2wasiliane na Mungu jaman

mwasapila can give u the contacts,nenda LOLIONDO akakupe
 
Hapa kuna jambo. Mungu Muumba mwenyewe anasema kuna miungu mingine, sasa huyu mungu gani? Kama ni Mungu Muumba, wa mbinguni then babu ni muongo. Mungu Baba, hana mawasiliano yoyote ya moja kwa moja na sisi viumbe ila tu kwa kupitia kwa Mwanaye Yesu Kristo. Kumbunkeni Shetani pia anajifanya Malaika wa nuru. And no wonder! For Satan himself transforms himself into an angel of light (2 Corinthians 11:14).
Babu lazima atuhakishe kwamba huyo aneye wasiliana naye sio Shetani, kama alivyo fanya Saul katika 1 Samuel 28:3-25.
Just because a person, or a spirit, accurately predicts (kuponya magonjwa) some pending event, this is no proof of divine inspiration.​

ellet,Mungu hakuwah kuwa na mtoto,hakuzaa wala hakuzakiwa so yesu si mtoto wa Mungu
 
Bajabiri: Hata majini/ mashetani wanajua kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu (Mark 5:1-12). Mtume Mohamed S.A.W na yeye aalijua kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu. Na Babu zetu Abraham na Musa wote walijua na wanajua Kwamba Yesu ni Mwana Mungu.
 
ELLET,yesu si mwana wa mungu,si majini,si mtume muhammad, si yeyote ambae anasema yesu ni mwana wa mungu,hata MUNGU hajasema hivyo,je alioa au ni mtoto wa nje ya ndoa?
Tuzungumzie kuhusu mwasapila ndo mjadala wa hapa
 
Hii ishu ya Babu imekua kama Big G iliyoisha utamu tumeichoka jamani. tuongeleeni mengine
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom