Mahitaji ya Njegere Kavu tani 9000

Nyuki1994

Member
May 1, 2023
90
180
Habari wadau bila kuwachosha. Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza kwa ufasaha zaidi mwenye bidhaa hiyo au pengine anafahamu inakopatikana kwa wingi tupeana connection.
 
Ndugu jifunze kuweka tangazo lako vizuri ungesema upo Mkoa gani, bei ya manunuzi unanunua kwa bei gani, unazifuata mwenyewe au unataka uletewe na suala la usafirishaji linakuaje, ungeweka mawasiliano na vingine vitakavyoweza kutoa picha kamili ya kile unachokihitaji. Ingekusaidia sana.

Kila la heri...!
 
Nazifuata mwenyewe popote zilipo bei ofa yangu 150tsh per kg kama ukiwa nazo nicheke kwa namba hizi +255625767400
 
Habari wadau bila kuwachosha. Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza kwa ufasaha zaidi mwenye bidhaa hiyo au pengine anafahamu inakopatikana kwa wingi tupeana connection.
Leta offer yako per tone
 
Nazifuata mwenyewe popote zilipo bei ofa yangu 150tsh per kg kama ukiwa nazo nicheke kwa namba hizi +255625767400

Nani akuuzie njegere kavu kwa hiyo bei, hata unajua zinalimwaje wewe ? Eti 150 kwa Kg,
Unadhani ni mchanga huu ?
njegere kavu ni huku kwetu huuzwa kama mbegu na bei yake shamba ni around 2K per kg.
 
Back
Top Bottom