Maharusi wa siku hizi!

Kwani huoni kwamba ndoa nyingi hata za kilokole hazina certificate?
Waliokuwa nazo zamani ndo waliona aibu!
 
Hapo na mm huwa nashangaa.Eti kuolewa ni bahati.....??!!!

hata anayeoa ni bahati sana maana si mchezo mpaka apate wa kumuoa inawezekana alishalizwa mpaka basi...mbona mabwana harusi wengi wanakuwa na woga hivi ni kwa nini???
 
akinuna napo mtasema mbona bibi harusi kanuna kalazimishwa nini, acha afurahi ndo siku yake. tena wew inabidi nikualike kwenye harusi yangu mana mimi ntajiachia niwezavyo ts my day.
 
Zamani..................haina nafasi tena hivi sasa......hizi ni zma mpya za watu kujionyesha wanavyojisikia..........za fikra na matendo kuwa wazi ili mradi wasivunje sheria........ZAMA ZA lEo..........Uncle achana na uzamani...hii ni karne nyingine!
 
Acha waselebuke maana ni bahati kubwa kwa dunia ya leo kwa binti kuolewa. Wengi wao wamebaki kuzaa tu.


Angalia kauli yako, kuoa au kuolewa ni maandiko ya mungu. Personally, I have turndown 3 men who were marriage- minded, I had my reason to do so. Kwahiyo sio siku zote mwanamke ni wa kuchaguliwa sometiems it works vice versa.
 
We ushasema zamani, unataka nini tena?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…