Mahari yangu ni billioni 1, anaetaka aje

Muigizaji Faqueen amesema mwanaume anayetarajia kumuoa anatakiwa kuwa tayari kutoa mahari ya shilingi bilioni moja.

Akizungumzia suala hilo, Faqueen amesema kiasi hicho ndicho kitakachomfanya angalau aanze kumfikiria mwanaume anayekuja kwa ajili ya ndoa.

“Mwanaume akija na mahari ya bilioni moja, angalau nitamfikiria,” amesema Faqueen
View attachment 3661274
Ninanunua bidhaa gani kwako?
 
Bikra??
 
Ila jamii forum ya sikuhizi nashindwa kuilewa kabisa..
 
Muigizaji Faqueen amesema mwanaume anayetarajia kumuoa anatakiwa kuwa tayari kutoa mahari ya shilingi bilioni moja.

Akizungumzia suala hilo, Faqueen amesema kiasi hicho ndicho kitakachomfanya angalau aanze kumfikiria mwanaume anayekuja kwa ajili ya ndoa.

“Mwanaume akija na mahari ya bilioni moja, angalau nitamfikiria,” amesema Faqueen
View attachment 3661274
Labda Bilioni 1 ya Zimbabwe ndiyo naweza kutoa ila Bilioni 1 ya TZ kwa ajili ya PID Shombo la Ferry?
 
Back
Top Bottom