Mahari ya Single Mom

Mahari ya Single Mom

Hivi kijana anayeoa unaanzaje kuoa single mother wakati wabichi wamejaa tele unaanzaje kumtambulisha kwenu kwa wazazi, mashangazi wajomba?

Binafsi kuoa mwanamke asiye na bikra nitajiuliza mara mbili mbili sembuse mfupa uliomshinda fisi mimi ndo nitauweza.
Mwanamke aliyezalia nyumbani hana sifa za kuwa mke.


Sent using Jamii Forums mobile app
halafu unatoa na mahari kabisa
 
Kuwa single mama siyo kosa hata kidogo, na wengi wapo wanaolewa kwa harusi safi na tunatoa michango na kusherehekea pamoja.

Swala la mahali ni makubaliano ya pande zote mbili.

Tuache kuwakashfu hawa single mamaz maana nao ni binadamu kama sisi wana moyo wa nyama na wanasikia maumivu pale wanapotukanwa ama kukashifiwa.

Nawapenda single mamaz wote hasa wale wapambanaji na wanaolea watt wao katika misingi iliyobora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ivi unajua kuna mademu wanatoa wameshatoa mimba kibao ..nahuyo ndo unaenda Oa?Yupi bora, Alotoa mimba zaidi ya tano Ila hana mtoto... Au aliye pata mimba moja naakamua kuzaa ?.



Ukishamwelewa MTU ,hata km amezaa Toa mahari ya kujitosheleza.


Nenda Ukuryani, Uone Jamaa wanavyotoa mahari, wanalipia Mke, wanalipia Watoto kutumia Ubini wake.


Sasa nenda nakapua kako eti unataka Mtoto wako Hahahahaha.... Utabakisha Kinyeo mlangoni
Walio toa mimba hapa hawapo, na huwezi kuthihilisha kwa kumwangalia.

Wacha dhambi za waliotoa mimba watasemezana na Yesu, sisi hawa singomama wavune walichopanda hapahapa duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ivi unajua kuna mademu wanatoa wameshatoa mimba kibao ..nahuyo ndo unaenda Oa?Yupi bora, Alotoa mimba zaidi ya tano Ila hana mtoto... Au aliye pata mimba moja naakamua kuzaa ?.



Ukishamwelewa MTU ,hata km amezaa Toa mahari ya kujitosheleza.


Nenda Ukuryani, Uone Jamaa wanavyotoa mahari, wanalipia Mke, wanalipia Watoto kutumia Ubini wake.


Sasa nenda nakapua kako eti unataka Mtoto wako Hahahahaha.... Utabakisha Kinyeo mlangoni
Hivi una umri wa miaka mingapi?
 
Mara nyingi watu wanasahau kwamba mapenzi ni ya watu wawili. Thamani ya mke au mume haitambuliwi na wazazi, ndugu wala marafiki bali wale waliokuwepo kwenye uhusiano.

Kwahio kiwango cha mahali ya single mum, haina tofauti na mwanamke yoyote yule kwani vigezo vya mahali viko vingi na kuwa na mtoto sio moja wapo. Huyo binadamu sio gari. Mahali ni utamaduni tu.
 
Facebook nako Kuna vihoja jamani.View attachment 1408937

Sent using Jamii Forums mobile app
Mahari inategemea kama binti ni bikra ni kubwa kuliko ambaye siyo bikra, then mahari ya single mum ni ndogo zaidi ya ambaye hana mtoto hata kama ashatoa mimba 100. Hii inatokana na mzigo unaojitwisha na gunia la misukari unalolikubali kulibeba. Ni ukweli usiopingika kuwa wanawake ni wajanja sana, kwa amateur ataona singo maza ana mapenzi ya dhati! Thubutu yeye ana experiences za kuishi na wanaume na ukijitokeza tu, lazima uchanganyikiwe.

Bora kama unataka kuoa singo maza afadhali kidogo kwa mbali mtoto wake awe ni wa kike. Akiwa wa kiume, jiandae siku moja atakutandika. Tumeyaona mengi bandugu
 
Back
Top Bottom