Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,360
Jamani waacheni single mothers wapumzike kwani nao ni binadamu kama wengine. Tena kuna muda mwingine katika maisha ni afadhali single mother aliyeamua kuzaa kwa mimba ya utamu wa kuskilizia kuliko haya magume gume yaliyokwisha gongwa zaidi ya mara 100, then unaona umechukua mtoto mbichi kumbe ameshatoa mimba kama 5.
"Tushukuru lami imegunduliwa rangi yake nyeusi"
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
"Tushukuru lami imegunduliwa rangi yake nyeusi"
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹

