Wasalam
Leo ndugu zangu nina jambo moja murua sana ambalo huwa linakera. Suala la mahari kabla ya ndoa ni jambo la hheri sana na heshima kwa binti aliyejitunza.
Tatizo linakuja mahari hizi zinapokuwa kutolewa kwa kiwango kisichostahili kwa walengwa. Mfano waweza kuta mwanamke tayari ameshatumika tangu akiwa na binti wa miaka kumi na nne anakuja kuchumbiwa akiwa na miaka 24 ama 26 then anataka kiwango cha mahari zaidi m1 ama 2 , kitu ambacho hakiendani kabisa na uhalisia.
Wakati mwingine mahari si tatizo bali tatizo ni unamtolea. Je ana sifa ya hiyo mahari? Kwa binti bikra haswaa hata akitaka M5 sawa, sio yule aliyetumika.
Vijana na waoaji tuamkeni sasa na nyie mabinti jitambueni, kama ukijijua skrepa tayari hakuna haja ya kujikweza.
Alamsiki.