KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,758
- 39,493
Mahari haiwezi kuwa kipimo cha thamani ya mwanamke bali wazazi na walezi watakuwa na maana kama watamlea mtoto wao katika misingi ya maadili mema ili aweze kudumu kwenye ndoa..na sio kutanguliza mahari kubwa na kumfanya binti yao aonekane kama ng'ombe aliyetunzwa ili apelekwe mnadani....