balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,512
- 15,143
Wote waliochanga inabidi watombe vinginevyo watadai pesa yaoMilioni 5? Naye amekubali?basi asingechangisha,watu hawachangishi mahari
Wote waliochanga inabidi watombe vinginevyo watadai pesa yaoMilioni 5? Naye amekubali?basi asingechangisha,watu hawachangishi mahari
Na usipopata mteja wa kununua huo mtumba?Wakubwa mbona mnalalamika saana aseeh. Huku
Tunatoa
ng'ombe minimum 10
Mbuzi minimum 32
Bado wale wa kula honeymoon minimum mbuzi 4
Sherehe unaweza kuchinja mbuzi wa 3 na ng'ombe 1. Matumizi mengine m1
Na ukitoa wachache ni bonge la shame kwa ukoo na rika lako. Ila sasa sisi mkizinguana kwenye ndoa unaruhusiwa kudai mahari yako yote kama binti wapo vizuri wanarudisha kama hawapo vizuri unamuuzia mwanaume mwingine
Ana qualification gani?maana ya elimu.kazi anayofanya nk,je ni bikra kote?Leo nimemsikia mtu mmoja akisema kuwa ndugu yao anaejiandaa kuoa, amepangiwa mahari ya shilingi milioni tano. Na kwamba ndugu wameamua kuchangishana ili walipe mahari hiyo kumsaidia ndugu yao.
Kilichonifanya niilete mada hii hapa kwa majadiliano ni kuhusu kiwango hicho cha mahari, ambacho kwangu nakiona ni kikubwa sana. Je, hiyo si ni sawa na kumfanya binti kama bidhaa kweli.
Unakufa na vihoro vyakoooNa usipopata mteja wa kununua huo mtumba?

