Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,385
- 8,279
Leo nimemsikia mtu mmoja akisema kuwa ndugu yao anaejiandaa kuoa, amepangiwa mahari ya shilingi milioni tano. Na kwamba ndugu wameamua kuchangishana ili walipe mahari hiyo kumsaidia ndugu yao.
Kilichonifanya niilete mada hii hapa kwa majadiliano ni kuhusu kiwango hicho cha mahari, ambacho kwangu nakiona ni kikubwa sana. Je, hiyo si ni sawa na kumfanya binti kama bidhaa kweli.
Kilichonifanya niilete mada hii hapa kwa majadiliano ni kuhusu kiwango hicho cha mahari, ambacho kwangu nakiona ni kikubwa sana. Je, hiyo si ni sawa na kumfanya binti kama bidhaa kweli.