Usije ukasoma sana ukamshinda mwalimu mkuu wa shule ya msingi, mwenyekiti wa kijiji au medical assistant wa dispendary ya kijiji. Watashindwa kupima umesoma hadi elimu gani.
Wakisikia fulani anasoma wanauliza, ameshasoma kama mwalimu mkuu? Wakijibiwa umemzidi wanashindwa kuelewa ni elimu gani unayosomea.
"Oyo duhu, wichubhula" hahahahaa
Niliwahi kuwa kwenye ofisi ya RC mmoja then ikaletwa kesi ya jamaa amekuja kudai mahari yake kwasababu mwanamke amemkimbiaKwa kuongezea tu ili kuweka mambo kwenye perspective
Mahari kwa Waislam inarudishwa iwapo mwanamke atataka ndoa ivunjwe bila ya kuhusika kwa makosa ya mume
Kwa mfano, mwanamke akisema ndoa basi kwa vile hana mapenzi na mume wake, au hajiskii kuwa kwenye ndoa.
Anarudisha mahari
Leo tulikuwa na mjadala kuhusu mahali na hasa viwango vya mahali vinavyotolewa
Mtu mmoja akasema yeye aliomba Mil.3 kama mahari ya kumuoza binti yake. Ikanikumbusha mbali kidogo, nikiwa secondary school nilienda na team iliyokwenda kujadili mahali ya kaka yangu aliyetaka kumuoa binti mmoja wa kisukuma. Nakumbuka mzee mwenye binti alianza na mahari ya Mil 6 lakini ikaishia kuafikiwa laki mbili na nusu.
Sasa nimeona bora tujadili kidogo hapa kitu gani hasa kinaangaliwa wakati wa kutaja mahari, nini hasa maana ya mahari na nani anatakiwa kuchukua mahari?
Wale waliooa na kuolewa tayari, wao walitoa au kutolewa mahari kiasi gani na wale wenye mabinti, wanategemea kutaka mahari kiasi gani?
Kwa kuongezea tu ili kuweka mambo kwenye perspective
Mahari kwa Waislam inarudishwa iwapo mwanamke atataka ndoa ivunjwe bila ya kuhusika kwa makosa ya mume
Kwa mfano, mwanamke akisema ndoa basi kwa vile hana mapenzi na mume wake, au hajiskii kuwa kwenye ndoa.
Anarudisha mahari
"Pemba eee Pemba
Naskia ni kuzuri, Jioni kuna upepo
Upepo unanukia, marashi ya karafuu"
Kwani ng'ombe wanapanda mtumbwi?
Au kwa "cheupe dawa" mahari hata yanaweza kufanywa kwa hisa kwenye NY Stock Exchange Market huko!
Hata kwa wasukuma mahari inarudishwa ndoa inapovinjika, ila kama mwanamke alikuwa ameshazaa watoto hasa inarudishwa sehemu ndogo tu ya mahari.
Halafu kwa msukuma, mwanamme akimpa binti ujauzito ila hana mpango wa kumuoa, huwa kuna kiwango cha mahari analipa ili aweze kutambuliwa na familia ya binti kama baba wa mtoto. Hapo ndio huruhusiwa hata kwenda kumsalimia mwanae nyumbani kwa binti. The sad thing, mtoto akishatolewa mahari anakuwa wa baba mwenye mtoto, akiamua kumchukua ni ruksa, hisia za mama wa toto kwa mwanae hazina nafasi kabisa.
Wapemba wanazo zile za "mchango na mahari pelekeni to a charity of a worthy cause"?
Lazima mambo tupeleke next level hivoo, habari za mahari kwa sana ndo maana wanaume wanajiona kama wananunua wake.
Hii nimewahi kuisikiaHata kwa wasukuma mahari inarudishwa ndoa inapovinjika, ila kama mwanamke alikuwa ameshazaa watoto hasa inarudishwa sehemu ndogo tu ya mahari.
Halafu kwa msukuma, mwanamme akimpa binti ujauzito ila hana mpango wa kumuoa, huwa kuna kiwango cha mahari analipa ili aweze kutambuliwa na familia ya binti kama baba wa mtoto. Hapo ndio huruhusiwa hata kwenda kumsalimia mwanae nyumbani kwa binti. The sad thing, mtoto akishatolewa mahari anakuwa wa baba mwenye mtoto, akiamua kumchukua ni ruksa, hisia za mama wa toto kwa mwanae hazina nafasi kabisa.
Habari nzima ya mahari, kurudishwa etc ni ku commoditize wanawake tu.
Mfumodume umepitishwa kijamii na unavalishwa respectability yote ya utamaduni.
Halafu wanaume wakiwa wana act kama wana wa own wanawake mtashangaa?
Wanawake commodity at, bei yao mahari.
Ni mambo fulani ambayo inabidi tuyapite.
Ndo maana wengine tukifikiria kuoa tunakutana na philosophical conundrums mpaka tunashindwa pa kuanzia.
A funny thing ni kwamba familia ya mwanamke ndiyo hugharamia sherehe ya harusi
Source; Mmarekani
Sitakuja kuomba mahari kamwe.
Mkuu mabinti wamekua kua eee
Hahahahaa mkuu, hiyo ya kutokamilisha mahari hata baada ya miongo kadhaa imenifurahisha. Nimewahi kusikia stori hizi sana tu
Aaah bado sana mbona....ila steji ya kupakana ketchup usoni na kuchomeka misumari kwenye electrical outlets tushaivuka kitambo.
Mbona hii ipo hata Tanzania?
Kwa watu wenye asili ya Kiarabu ni kawaida sana hiyo au hata Zanzibar, sherehe ya harusi inafanywa na mwanamke.
Gharama zote ni juu ya mwanamke na familia yake na hakuna kitu kinaitwa mchango huko
Kama familia ya mwanamke haina kitu, hakufanywi sherehe
Labda mwanamme kwa khiari yake aamue kufanya sherehe kwa ajili ya ndoa yake
Habari nzima ya mahari, kurudishwa etc ni ku commoditize wanawake tu. Wanawake kama wanataka kuendelea kuwa watumwa wa wanaume na watu ambao hawawezi kuwa sawa na wanaume, waendelee kukubali kutolewa mahari. Kama wanataka usawa, mahari haiwafai.
Mfumodume umepitishwa kijamii na unavalishwa respectability yote ya utamaduni.
Halafu wanaume wakiwa wana act kama wana wa own wanawake mtashangaa?
Wanawake commodity at, bei yao mahari.
Ni mambo fulani ambayo inabidi tuyapite.
Ndo maana wengine tukifikiria kuoa tunakutana na philosophical conundrums mpaka tunashindwa pa kuanzia.
Ukiangalia sana this is just a version of modern day slavery, mahari ndiyo bei ya mtumwa.
I know it is bordeline hyperbole, but the exaggeration helps illustrating the point.
Mkisikia Chaha Marwa kampiga mke wake huko Tarime kwa sababu hajampikia ugali vizuri, Chacha hajapata "value for money" kama alivyotaka, mtashangaa?
Hii nimewahi kuisikia sana tu, hata mi ya mama yangu inasemekana haikuwa imekamilika ila baadae ikaja kujulikana kwamba Babu alishavuta kitambo akaa kimyaWengine hukamilisha kwa lazima pindi yule muolewaji anapofariki ndio utaona ndugu wanaingilia kati kwa kuzuia mazishi mpaka mahari imaliziwe