Mahari kwa wanyakyusa

Mahari kwa wanyakyusa

Hakuna mke wa bure... 18-Jacob was in love with Rachel and said, “I’ll work for you seven years in return for your younger daughter Rachel.”

19-Laban said, “It’s better that I give her to you than to some other man. Stay here with me.” 20-So Jacob served seven years to get Rachel, but they seemed like only a few days to him because of his love for her.

Hiyo Ni Nadharia Zaidi,
Let's Come To Real Life ndo Tuongee,Hayo Mambo Ya Old Testament Haya Apply Kabisa
 
Atoe mahari kidogo tu hapo inayobaki awapotezee kwani mahari haitolewi yote..
 
Kosa analo binti, alitakiwa kusema uwezo wa mchumba wake kwa familia ili wasimuumize sana. 3.2M kwa mtu wa kawaida ni pesa nyingi, hapo bado maandalizi ya arusi ambayo pia anatakiwa kugharamia, ukiwa na mchumba mwelewa inakuwa ahueni kidogo, otherwise kuoa kwahitaji kujipanga vilivyo.

Hata nyie wachagga tian sio rahisi kivile, japo kuna unafuu.

kwani wachaga wao mahari ni kiasi gani?
 
Last edited by a moderator:
As far as I know kwa Wanyakyusa mahari hasa ni ng'ombe mmoja ila awe amenona sawasawa vingine ni mbwembwe tu. Hilo la ng'ombe wanne sijawahi kulisikia maybe ushuhuda mwingine
 
Back
Top Bottom