Mahari kwa M pesa

Mahari kwa M pesa

Jamani,
Jana nilialikwa kwenye sherehe ya kupokea mahari.
Nikiwa kama mjomba wa anayetarajiwa kuolewa, bwana harusi alisema atatuma mahari kwa njia ambayo ilimuwezesha kukutana na binti yetu.
Alisema walikutana kwenye facebook, hivyo mahari atatuma kwa M pesa na harusi watafuna online.
Bwana harusi yuko Mwanza ambako anafanya biashara zake huko.
Baada ya baba wa binti kupata mashaka, bwana harusi akatuma shilingi milioni tano akitumia laini ofauti tofauti, baba akaingiwa na imani, na anaona ni jambo jema kufanya harusi ya kihistoria.
Hivi ndoa kama hii (iwapo itafungwa onine) je itatambuliwa kisheria?
Nimebaki na maswali mengi ambayo baada ya kujazwa mapesa, baba wa binti kaacha kujiuliza, na anasubiri kwa hamu mwanawe aolewe

Hao wanaotaka kufunga ndoa walishawahi hata kuonana? Kama sivyo, Kuna hatari ya kuoa/kuolewa na kibwengo hapa! Kuna mengi ya kufanya online lakini siyo katika level hii!
 
Jamani,
Jana nilialikwa kwenye sherehe ya kupokea mahari.
Nikiwa kama mjomba wa anayetarajiwa kuolewa, bwana harusi alisema atatuma mahari kwa njia ambayo ilimuwezesha kukutana na binti yetu.
Alisema walikutana kwenye facebook, hivyo mahari atatuma kwa M pesa na harusi watafuna online.
Bwana harusi yuko Mwanza ambako anafanya biashara zake huko.
Baada ya baba wa binti kupata mashaka, bwana harusi akatuma shilingi milioni tano akitumia laini ofauti tofauti, baba akaingiwa na imani, na anaona ni jambo jema kufanya harusi ya kihistoria.
Hivi ndoa kama hii (iwapo itafungwa onine) je itatambuliwa kisheria?
Nimebaki na maswali mengi ambayo baada ya kujazwa mapesa, baba wa binti kaacha kujiuliza, na anasubiri kwa hamu mwanawe aolewe

nahisi itafungwa na maadmin wa magroup waliopo au page za kina ben hinn pia itatambuliwa na PIPA sana sana..
 
Utani huo jamani ni ndoa gani hii tena?
 
Kwa comment yako inaonyesha una mkwanja kweli. Yaani unadharau mil5, ungalijua kuwa wenzio wanaolewa kwa laki 2 na wengine bure usingali sema haya. Kila la heli mkuu na kila mbuzi hula urefu wa kamba yake
Huko kuolewa bure sio kuolewa, huko ni kujimuvusisha
 
Kwa comment yako inaonyesha una mkwanja kweli. Yaani unadharau mil5, ungalijua kuwa wenzio wanaolewa kwa laki 2 na wengine bure usingali sema haya. Kila la heli mkuu na kila mbuzi hula urefu wa kamba yake

hela ipo na inaendelea kuongezeka, karibu uonje utamu wa Yesu
 
Hili nalo ni ajabu la aina yake, kidigital zaidi. Padri akibonyeza ENTER tu ndoa tayari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom