Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
nitawaandalia zaidi ya hivo sio ka hivo mpaka mvimbiwe namna hiiHahahahaha huyu mimi49 ananirusha roho kwa mahunjumati kila siku bora tu atupikie tukajilie kwa raha zetu..
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

utafiti utajikuta umeshiba hata kabla ya kuonja aise maana utakuwa umekamia sana farkhina siku moja niandalie basi nije kwako englibertm hapo nafikiri ulionja onja tuu na wala hukula vyote
nitawaandalia zaidi ya hivo sio ka hivo mpaka mvimbiwe namna hiiView attachment 140255