englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
nilikuwa naonja tu nikashibaulimaliza vyote?
Sent from my blackberry 9320 using jamiiforums
vyeusi viko vingi hapo nitawwaalika siku moja wana jf baadhi usikose kuja ili uone mwenyewe kwa machoduh mkuu hiyo black ndio nini hapo?
vyeusi viko vingi hapo nitawwaalika siku moja wana jf baadhi usikose kuja ili uone mwenyewe kwa macho
Naomba niambie 3dys before ili niache kula
nilikuwa naonja tu nikashiba
Mkamia maji hayanywi lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
vyeusi viko vingi hapo nitawwaalika siku moja wana jf baadhi usikose kuja ili uone mwenyewe kwa macho
wewe andaa tumbo tukwakweli naomba huo mwaliko uniite kwa sauti kuu maana acha tu....
andaa tumbohapo kweli....mie nasubiri hiyo mialiko
sent from my blackberry 9320 using jamiiforums
ha ha ha nikiweka changu kimoja tu wote mtaona makopa kwa macho!Niandalie na miye ka hivyo basi....halafu farkhina naye tumualike
ha ha ha nikiweka changu kimoja tu wote mtaona makopa kwa macho!