Kwa series ya malalamiko ya wasimamizi na mawakala dhidi yake tokea jana hili linawezekana kabisa!...Kama ni kweli, tapeli mwingine atakuwa ametapishwa hirizi!...Bravo!
Habari nilizozipata hivi punde zinasema yule mpinzani wa Mpendazoe yamemkuta makubwa baada ya kubambwa live na maboksi ya kura feki.... Ameshasombwa na polisi na sasa yupo kituo cha polisi Buguruni kwa mahojiano zaidi
Walioko eneo la tukio tunaomba habari zaidi
habari nilizozipata hivi punde zinasema yule mpinzani wa mpendazoe yamemkuta makubwa baada ya kubambwa live na maboksi ya kura feki.... Ameshasombwa na polisi na sasa yupo kituo cha polisi buguruni kwa mahojiano zaidi
walioko eneo la tukio tunaomba habari zaidi
Huyu jamaa kawatapeli wana Ukonga akakimbilia jimbo la Segerea. Kama ni mwizi wamtoe nje wananchi wamchome moto. Hatuitaj waroho kama hawa.Wakiambiwa ni wezi wa kura wanaambiwa kuwa wanasingiziwa
Nimeambiwa na kada wa Ccm pale magomeni kuwa siku ya uchaguzi uyu makongoro alilala polisi na kwa kubambwa na box la kula akienda kuchakachua. Pia yule padre wa kike mch.Getrud rwakatale alibambwa na box la kura!