Elections 2010 Mahanga akamatwa na polisi, akamatwa na kura feki

Hawa wakikamatwa wapigwe picha tu ili hata vizazi vyao vije vijue mababu zao walikua watu wa ghiriba na hila na w.... wasijesema nimewatukana
 
Naona kizunguzungu tu hapa. Sijui naota au!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Unataka kukimbia!! ndo hivyo sasa, huoti , ni ukweli mtupu, jifinye pua uone!!!

Wamebana Wameachia,,,,, nguo zinawavuka!!!!:yield::yield::yield::yield::yield:
 
terrible this ccm regime, sasa hao yanafanyika mji mkuu km dar vipi huko mikoani siamini tena liposhinda ccm ni ushindi halali, bravo wananchi wa mikoani mliokuwa stable, poleni wananchi wa shinyanga mliopigwa mambomu pia wa huko tandika na wengineo kwa kuitetea democracy ya kweli. ipo siku tutaikomboa nchi hii, na africa nzima!
 
sidhani kama ccm police watamfanya chochote..zaidi watamtetea na kumkambatia:doh:
 
NEC engueni hilo bara haraka sana iwezekanavyo its 100% disqualification haina kipingamizi alikuwa ana attempt Ballot Defraud
 
Ni kweli.

Jana nilikuwa nakula Kili bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiid kwenye bar yake maeneo ya Tabata Bima.

Palikuwa pamepooza sana.

Ataisoma.

Miaka mi5 bungeni. Kajenga bar zake tu.

Na wewe mkuu acha kunywa kwenye bar za mafisadi. Sina kuna bar nyingi tu maeneo hayo?
 
Kuna siku Mzee Mwanakijiji alisema hakuna kitu kma kuiba kura. Sijui kama anafuatilia yanayojiri sasa huku Tanzania. Wizi upo na ndo huu unaendelea. Kaka upo?
 
Kwa series ya malalamiko ya wasimamizi na mawakala dhidi yake tokea jana hili linawezekana kabisa!...Kama ni kweli, tapeli mwingine atakuwa ametapishwa hirizi!...Bravo!
Aiseee kama ni kweli atakuwa amejivunjia heshima sana na hata chama chake. PakaJimy nimeipenda hiyo sehemu niliyobold
 
wakati wa kura za maoni (CCM) jumla ya kura zilizopigwa zilizidi idadi ya wana CCM katika jimbo la Segerea, wenzie walitaka uchaguzi urudiwe lakini kwa amri ya m/kiti wa chama matokeo yaliwasilishwa na kupokewa kama yalivyo. Inaonesha huyu ni mzoefu wa uchakachuzi
 
Hiyo ndo ilikuwa style yao ya ushindi, wqlizoea kuingia mjengoni kwa kuchakachua ushindi. Ndo maana hawana uchungu na nchi wala hawako tayari kuwatumikia wananchi. Wakakae kijiweni kama hawana kazi za kufanya ili waonje radha ya maisha ya uraiani.
 
Mahanga alifukuzwa tambaza kwa sababu ya vurugu na kila shule aliyosoma alibalaswa.
sishangai kwa kukamatwa kwake na masanduku ya kura. amezoea masahibu huyo.

mwacheni akanyee debe kisha atatoka na kuendeleza kile chuo chake chanika
 
Jamaa ameachiwa huru ilikua ni mabox yaliyofanana na ya kura ndani yake hakukua na chochote na ni mshindi wa jimbo!!
 
Nimeambiwa na kada wa Ccm pale magomeni kuwa siku ya uchaguzi uyu makongoro alilala polisi na kwa kubambwa na box la kula akienda kuchakachua. Pia yule padre wa kike mch.Getrud rwakatale alibambwa na box la kura!

eti Mama kakamatwa na hayo/ aaaahhhhh,
 
Nadhani PhD ya huyu jamaa imejikita katika wizi, kwa hiyo si ajabu bali ni ajabu pale atakapotangazwa mshindi! Bora ajinyoshee zake mikono na akubali yaishe kwani hana lake tena zaidi ya kutapatapa. Kwisha habari yake, jimbo jingine la CHADEMA kwa kiongozi aliye makini Mpendazoe big up man, we're waiting for the results to be out to celebrate with you.
 
Maji ya shingo hayo wakubwa.hadi makongoro kijana ahamini kama anawezashidwa anadhan ataishi kwakuchakachua hadi lini?why hawasomi alama za nyakati?bt time tell
 
Back
Top Bottom