Elections 2010 Mahanga akamatwa na polisi, akamatwa na kura feki

Hardwood

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,020
1,032
Habari nilizozipata hivi punde zinasema yule mpinzani wa Mpendazoe yamemkuta makubwa baada ya kubambwa live na maboksi ya kura feki.... Ameshasombwa na polisi na sasa yupo kituo cha polisi Buguruni kwa mahojiano zaidi

Walioko eneo la tukio tunaomba habari zaidi
 
Kwa series ya malalamiko ya wasimamizi na mawakala dhidi yake tokea jana hili linawezekana kabisa!...Kama ni kweli, tapeli mwingine atakuwa ametapishwa hirizi!...Bravo!
 
huyu jamaa simpendi.... yaani simpendi na sijui hiyo PhD ni yanini!!!

Alinifurahisha na takwimu zake za ajira 1,300,000 za Kikwete. Another stupid PhD holder______big thief...... shame on him
 
Kwa series ya malalamiko ya wasimamizi na mawakala dhidi yake tokea jana hili linawezekana kabisa!...Kama ni kweli, tapeli mwingine atakuwa ametapishwa hirizi!...Bravo!

Ni kweli.

Jana nilikuwa nakula Kili bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiid kwenye bar yake maeneo ya Tabata Bima.

Palikuwa pamepooza sana.

Ataisoma.

Miaka mi5 bungeni. Kajenga bar zake tu.
 
This is Shame, Please wajirani/washauri wake acheni upumbavu jamaa aachie tu ngazi, mwizi mkubwaaa
 
Mimi nina mashaka na PhD holders wote ndani ya ccm kuanzia kinara wao. wao wanajipachika tu kana kwamba hivyo ni vyeo vya chama chao cha mafisadi. lazima aswekwe ndani na kuipata fresh.
 
Habari nilizozipata hivi punde zinasema yule mpinzani wa Mpendazoe yamemkuta makubwa baada ya kubambwa live na maboksi ya kura feki.... Ameshasombwa na polisi na sasa yupo kituo cha polisi Buguruni kwa mahojiano zaidi

Walioko eneo la tukio tunaomba habari zaidi

This is very serious...kichekesho ni kwamba NEC haitasema kitu!! Lakini ingekuwa ni mgombea wa upinzani...weeeeeee!!!
 
habari nilizozipata hivi punde zinasema yule mpinzani wa mpendazoe yamemkuta makubwa baada ya kubambwa live na maboksi ya kura feki.... Ameshasombwa na polisi na sasa yupo kituo cha polisi buguruni kwa mahojiano zaidi

walioko eneo la tukio tunaomba habari zaidi

Mungu ameanza kusikia kilio cha watanzania na atatuepusha na utawala huu dhalimu!!!!! This is criminal offence and this dude should be prosecuted in a court of law!!!
Mind you their PRESIDENT said just before the election that there was no possibility to rig votes!!! WHAT ARE WE SEEING NOW? LET THE PRESIDENT COMMENT ON THIS ONE!!! and where are these votes from? not that container that was mentioned by DR SLAA? Shame on our electoral system. For all irregularities that have been exposed so far, after the election, activists and all of us should join hands and demand for the dissolution of NEC.
 
Huyu kasoma kwa kuungaunga. NABOCE---NAD----CPA---CSP----Msc. Finance (IFM)-------PhD(NHC)..(National Housig Corporation)
 
Mungu wetu ni Mungu wa kweli na aliye hai. Hawa CCM na NEC ni wafu watembeao juu ya uhai wa wenye haki. Huu utawala wa giza utaangamia tu!
 
Nimeambiwa na kada wa Ccm pale magomeni kuwa siku ya uchaguzi uyu makongoro alilala polisi na kwa kubambwa na box la kula akienda kuchakachua. Pia yule padre wa kike mch.Getrud rwakatale alibambwa na box la kura!
 
Kama ni kweli nawahurumia kondoo wa bwana wanaooingia kanisani kwake; wanamnneemasha yeye tu; Biashara,Siasa na Dini??? vyote vimechanganywa sijui nini hasa
 
Mbona wanamchelewesha, wamwahishe hapo gereza la Segerea ama Ukonga, ni karibu sana na nyumbani kwake
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom