...kwa mahakama za Tz, mi ni Tomaso.
Kutokana na kesi inayomkabili Mbunge wa Segerea Mhe. Mahanga jana wakati akihitimisha mjadala wa muswada wa sheria kuhusu Mamlaka ya udhibiti wa mashirika ya hifadhi za jamii alijikuta akijitabulisha kama anazungumza kwa niaba ya waziri wa fedha badala ya waziri wa kazi na ajira.
Nashauri ni muda muafaka washauri nasaha wamsaidie ili asichanganyikiwe zaidi!
...kwa mahakama za Tz, mi ni Tomaso.
judge j ni mserikali. mmesahau alichofanya pale udsm first son alipokuwa anasoma?
- Well, Great Thinkers tujifunze kujadili kwa kutumia haki na fairness, kwamba Mbunge Mahanga amechanganyikiwa it is far from the truth jana nilikuwa naye he is just fine na si kweli kabisa, innocent until proven guilty hajahukumiwa bado kesi ipo kwenye mikono ya sheria, sasa common sense ni kusubiri matokeo kwanza badala ya kujaribu ku-influence matokeo.
- Mahanga ni Mbunge wangu, nina makazi yangu kata ya Kinyerezi, jimbo la Segerea sasa mambo kama haya muwe mnatuachia tuwafahamisheni uwezo wa mbunge na udhaifu wake, Mhanga has done a lot kwa jimbo la Segerea, ikiwa ni pamoja na kulipunguza sana tatizo la maji, amejaribu sana kurekebisha bara bara na mara ya mwisho nilimsisitiza kutengeza bara bara ya kutoka relini Majumba Sita kwenda Segerea akanielimisha sana kwamba kwa nini bado haijatengenezwa na kwamba ana uhakika kuwa itatengenezwa.
- kwamba amechanganyikiwa, sio kweli he is fine unless kuna something else I am missing here!, tuwe wakweli tuachane na upotoshaji.
William.
Wewe unaomba kura kwa Mahanga sasa unamtetea mwizi hata wewe nimeamini ni mwinzi hutatusaidia- Well, Great Thinkers tujifunze kujadili kwa kutumia haki na fairness, kwamba Mbunge Mahanga amechanganyikiwa it is far from the truth jana nilikuwa naye he is just fine na si kweli kabisa, innocent until proven guilty hajahukumiwa bado kesi ipo kwenye mikono ya sheria, sasa common sense ni kusubiri matokeo kwanza badala ya kujaribu ku-influence matokeo.
- Mahanga ni Mbunge wangu, nina makazi yangu kata ya Kinyerezi, jimbo la Segerea sasa mambo kama haya muwe mnatuachia tuwafahamisheni uwezo wa mbunge na udhaifu wake, Mhanga has done a lot kwa jimbo la Segerea, ikiwa ni pamoja na kulipunguza sana tatizo la maji, amejaribu sana kurekebisha bara bara na mara ya mwisho nilimsisitiza kutengeza bara bara ya kutoka relini Majumba Sita kwenda Segerea akanielimisha sana kwamba kwa nini bado haijatengenezwa na kwamba ana uhakika kuwa itatengenezwa.
- kwamba amechanganyikiwa, sio kweli he is fine unless kuna something else I am missing here!, tuwe wakweli tuachane na upotoshaji.
William.
Wewe unaomba kura kwa Mahanga sasa unamtetea mwizi hata wewe nimeamini ni mwinzi hutatusaidia
Wewe nae unakuwa kama vile hujui kiswahili, mbona lugha ya kawaida sana hiyo? Aftar all MBUNGE WAKO NI MWIZI WA KURA, IMAGINE MBABA KAMA YULE NA KITAMBI CHAKE ETI ANAKIMBIA NA MASANDUKU FEKI YA KURA Duh! Kuwa nae bungeni isiwe tabu!
- Well, Great Thinkers tujifunze kujadili kwa kutumia haki na fairness, kwamba Mbunge Mahanga amechanganyikiwa it is far from the truth jana nilikuwa naye he is just fine na si kweli kabisa, innocent until proven guilty hajahukumiwa bado kesi ipo kwenye mikono ya sheria, sasa common sense ni kusubiri matokeo kwanza badala ya kujaribu ku-influence matokeo.
- Mahanga ni Mbunge wangu, nina makazi yangu kata ya Kinyerezi, jimbo la Segerea sasa mambo kama haya muwe mnatuachia tuwafahamisheni uwezo wa mbunge na udhaifu wake, Mhanga has done a lot kwa jimbo la Segerea, ikiwa ni pamoja na kulipunguza sana tatizo la maji, amejaribu sana kurekebisha bara bara na mara ya mwisho nilimsisitiza kutengeza bara bara ya kutoka relini Majumba Sita kwenda Segerea akanielimisha sana kwamba kwa nini bado haijatengenezwa na kwamba ana uhakika kuwa itatengenezwa.
- kwamba amechanganyikiwa, sio kweli he is fine unless kuna something else I am missing here!, tuwe wakweli tuachane na upotoshaji.
William.
- Ni mbunge wangu kwenye level ya Ubunge I support him kwa sababu amelifanyia jimbo langu mambo mengi sana, tabia zake binafsi sizijui na sio my concern!
William @Dodoma!
- Well, Great Thinkers tujifunze kujadili kwa kutumia haki na fairness, kwamba Mbunge Mahanga amechanganyikiwa it is far from the truth jana nilikuwa naye he is just fine na si kweli kabisa, innocent until proven guilty hajahukumiwa bado kesi ipo kwenye mikono ya sheria, sasa common sense ni kusubiri matokeo kwanza badala ya kujaribu ku-influence matokeo.
- Mahanga ni Mbunge wangu, nina makazi yangu kata ya Kinyerezi, jimbo la Segerea sasa mambo kama haya muwe mnatuachia tuwafahamisheni uwezo wa mbunge na udhaifu wake, Mhanga has done a lot kwa jimbo la Segerea, ikiwa ni pamoja na kulipunguza sana tatizo la maji, amejaribu sana kurekebisha bara bara na mara ya mwisho nilimsisitiza kutengeza bara bara ya kutoka relini Majumba Sita kwenda Segerea akanielimisha sana kwamba kwa nini bado haijatengenezwa na kwamba ana uhakika kuwa itatengenezwa.
- kwamba amechanganyikiwa, sio kweli he is fine unless kuna something else I am missing here!, tuwe wakweli tuachane na upotoshaji.
William.
- Innocent until proven guilty!, ni very simple common sense zaid!, I mean siwezi kumuhukumu mtu bila facts kwanza mahakama ikisema ni mwizi kweli, tizama yule Mzee IMF alivyofanyiwa na facts zilipotoka, ungetegemea kwamba tunajifunza kumbe wapi!
William @Dodoma!