Mahanga achangayikiwa!?

- Ni mbunge wangu kwenye level ya Ubunge I support him kwa sababu amelifanyia jimbo langu mambo mengi sana, tabia zake binafsi sizijui na sio my concern!

William @Dodoma!
Naona kibao kimekugeuki ! Hivi umefikia wapi ? Utatoboa kwei !? Ubunge umekutia upofu kabisa.
 
- Well, Great Thinkers tujifunze kujadili kwa kutumia haki na fairness, kwamba Mbunge Mahanga amechanganyikiwa it is far from the truth jana nilikuwa naye he is just fine na si kweli kabisa, innocent until proven guilty hajahukumiwa bado kesi ipo kwenye mikono ya sheria, sasa common sense ni kusubiri matokeo kwanza badala ya kujaribu ku-influence matokeo.

- Mahanga ni Mbunge wangu, nina makazi yangu kata ya Kinyerezi, jimbo la Segerea sasa mambo kama haya muwe mnatuachia tuwafahamisheni uwezo wa mbunge na udhaifu wake, Mhanga has done a lot kwa jimbo la Segerea, ikiwa ni pamoja na kulipunguza sana tatizo la maji, amejaribu sana kurekebisha bara bara na mara ya mwisho nilimsisitiza kutengeza bara bara ya kutoka relini Majumba Sita kwenda Segerea akanielimisha sana kwamba kwa nini bado haijatengenezwa na kwamba ana uhakika kuwa itatengenezwa.

- kwamba amechanganyikiwa, sio kweli he is fine unless kuna something else I am missing here!, tuwe wakweli tuachane na upotoshaji.

William.

Inawezekana by the time ulipokuwa nae hakuwa bado hajachanganyikiwa. Hivi hujui kwamba kuna Ukichakaa wa Vipindi? Alafu wewe unasema is innocent until proven guilty! Sasa wewe unajuaje wakati kwenye mchakato wa uchaguzi ulikuwa zako Marekani? Mimi nilikuwepo Jimbo la Segerea kwenye mchakati mzima wa kampeni za CHADEMA hadi kwenye kuhesabu kura. Mahanga ni mwizi wa kura!

Alafu unasema Mahanga ni Mbunge wako na kwamba has done a lot kwa jimbo la Segerea, ikiwa ni pamoja na kulipunguza sana tatizo la maji, amejaribu sana kurekebisha bara bara. Mimi nimekaa Kimanga, Kisukuru, Bima na sasa Segerea mwisho. Njoo huku uone kama kuna maji wala barabara za mitaani kama zinapitika nyakati za mvua. Usichukue mfano wa Kinyerezi ukaconclude kwa Jimbo zima. Kwanza huko Kinyerezi wanakaa Vigogo na watoto wao unadhani hizo huduma hawatapeleka. William kuwa mkweli kwa maisha ya Watanzania wa kawaida.

Tatizo lako dCCM imekulevya na unadhani bila CCM hakuna Tanzania. Foolish! Au ndio unamtetea ili akupe kura ya Ubunge wa Afrika Mashariki baada ya wabunge wetu wa CHADEMA kukutosa!
 
daahh......huyu jamaa @william anapenda misifa ajabu, mara @New York, mara @dodoma, mara nna makazi kinyerezi, ila kinachoniboa zaidi ni hako katabia ka kutetea wezi, tambua kuwa mahakamani kuna sheria na si haki, so its possible sheria ikapindishwa kum~beba mahanga, that wont make him innocent!
 
- Innocent until proven guilty!, ni very simple common sense zaid!, I mean siwezi kumuhukumu mtu bila facts kwanza mahakama ikisema ni mwizi kweli!

William @Dodoma!

Hivi wewe si ulishawai kutuambia kwamba Lowassa ni mwizi?! Au na yeye mahakama imeshamuhukumu! Kweli ukipenda chongo ...............

- Ni mbunge wangu kwenye level ya Ubunge I support him kwa sababu amelifanyia jimbo langu mambo mengi sana, tabia zake binafsi sizijui na sio my concern!

William @Dodoma!

Mimi ni mkazi wa Jimbo la Segerea na nimeishi maeneo mengi kuliko wewe uliejichimbia Kinyerezi kwa Mafisadi. Frankly speeking Mahanga hakuna alichofanya Segerea. Sana sana tangu aingie madarakani kumekuwepo na ongezeko la Night Club na Bar. Na yeye mwenyewe akavamia kiwanja cha wazi pale Bima akafungua Bar yake inayoitwa Nyantare Social Club.

Willim, wewe ulikuwa Marekani. Mambo ya Wana Segerea tuachie sisi wana Segerea. Wewe kwanza sidhani hata kama umejiandikisha kupiga kura Jimboni kwetu, you are just an Immigrant.

Stop this gibberish trying to defend that useless old man,he is just good for nothing!!
Yaani Ubungo wawe na Mbunge na sisi Segerea tuseme tuna Mbunge? Kwenye Jimbo la Segerea ni Kinyerezi Peke yake? Mimi nimeisha Uwanja wa Ndege na sasa nina ishi Kiwalani Kwa Gude vyote hivi ni Vitongoji ndani ya Jimbo la Segerea,sijawahi Kumuita huyo Mbunge anayeitwa Mahanga hata Mara Moja ukiacha 2005 na 2010 wakati wa kubembeleza kula let alone kuleta Maendeleo!!!

Sijaona hata mradi mmoja uliotejelezwa huku kwa hiyo nikikusikia unapiga Poroja kumtetea huyo Mbunge wa NEC unanitibua tu!!
Ni mwizi tu wa Kura,hupendi kusikia hili najua lakini thats just it,Chungu Kumeza lakini inatibu!!

The Eagle2012,
Tunashukuru kwa ufafanuzi wako. Nilitaka nikugongee 'like' bahati mbaya nilipoangalia profile yako nikaona record zako zinaonyesha Like Given 0. Sasa uache uchoyo ndugu yangu.
 
The Eagle2012,
Tunashukuru kwa ufafanuzi wako. Nilitaka nikugongee 'like' bahati mbaya nilipoangalia profile yako nikaona record zako zinaonyesha Like Given 0. Sasa uache uchoyo ndugu yangu.

Usikute siyo mchoyo sema analog in sana via mobile.
 
Mh jf kuna mambo. Mi napita tu Arumeru mashariki sisi tulishamaliza kazi yetu ya ''kamata mwizi baab'' siku nyingi.
 
Mimi ni mkazi wa Jimbo la Segerea na nimeishi maeneo mengi kuliko wewe uliejichimbia Kinyerezi kwa Mafisadi. Frankly speeking Mahanga hakuna alichofanya Segerea. Sana sana tangu aingie madarakani kumekuwepo na ongezeko la Night Club na Bar. Na yeye mwenyewe akavamia kiwanja cha wazi pale Bima akafungua Bar yake inayoitwa Nyantare Social Club.

Willim, wewe ulikuwa Marekani. Mambo ya Wana Segerea tuachie sisi wana Segerea. Wewe kwanza sidhani hata kama umejiandikisha kupiga kura Jimboni kwetu, you are just an Immigrant.

- Kama ninavyosema siku zote picha ya profile yako huwa inasema mengi sana kuhusu wewe mwenyewe, Jimbo la Segerea ninalijua kuliko wewe kwa sababu kwa maneno yako tu ni clear hulijui, anyways pole pole unaanza kujisema wewe ni nani I can smell that, lakini otherwise ninasema hivi:-

- INNOCENT UNTIL PROVEN GUILTY!

William @Dodoma.
 
Nashukuru kwa kwa kunifahamu kwa kuangalia Profile Picture yangu. Hata hivyo, kama Baba yako alishindwa kura za maoni na Chizi wa kuzaliwa unadhani wewe una uwezo wa kushinda huo Ubunge wa Africa Mashariki dhidi ya wagombea wenye akili timamu. Hivi kulifahamu vizuri Jimbo la Segerea maana yake ni kuishi Kinyerezi? Mimi nimekaa Kisukuru, Bima, Kiwalani, Buguruni na sasa Segerea Mwisho. Utaniambia nini? Swala la maji ni Critical Jimbo zima isipokuwa huko Kinyerezi mlipojichimbia watoto wa Mafisadi!
 
Sidi wengine tumeamua kukaa Kimya kwani huyu bwana ni kama gonjwa hivi msishangae akajinyonga akikosa huo ubunge
 
Na umwambie kiwanja che2 pale bima alipojenga bar yake(nyantare)akirudishe,yule ni mwzi tena sio mwiz wa kujifunza bali wa kurithi.
 
kweli hata mimi kamanda wa CDM, naomba tuisubiri hukumu ya ccm(d)mahakama.
 
Nyota yake kwasasa imeshikiliwa na Prof. Juma.
presha inapanda presha inashuka hofu yangu tarehe 2/05 isije sababisha brain concersion

Mkubwa angalia nyekundu, lugha za watu hii fanyeni taratibu wakati wa kuzitumia. Tafuta msamiati wake wa kiswahili.
 
W.Malecela wewe pamoja na mahanga hamna jipya...Ubunge wa Segerea ni wa F.Mpendazoe,,,,,,,weka dau uone!!@
 
Majaji wa VODAFASTA hawatabiriki kabisa unaweza kushangaa mahanga anashinda kesi. Hii ni nchi ya dhuluma kwa hiyo chochote kinaweza kutokea

Umesemda kweli mkuu,majaji wetu hawaeleweki unaweza kukuta JK kashazijaza akaunti zao ili waipindishe hukumu impendelee Mahanga.
 
- Well, Great Thinkers tujifunze kujadili kwa kutumia haki na fairness, kwamba Mbunge Mahanga amechanganyikiwa it is far from the truth jana nilikuwa naye he is just fine na si kweli kabisa, innocent until proven guilty hajahukumiwa bado kesi ipo kwenye mikono ya sheria, sasa common sense ni kusubiri matokeo kwanza badala ya kujaribu ku-influence matokeo.

- Mahanga ni Mbunge wangu, nina makazi yangu kata ya Kinyerezi, jimbo la Segerea sasa mambo kama haya muwe mnatuachia tuwafahamisheni uwezo wa mbunge na udhaifu wake, Mhanga has done a lot kwa jimbo la Segerea, ikiwa ni pamoja na kulipunguza sana tatizo la maji, amejaribu sana kurekebisha bara bara na mara ya mwisho nilimsisitiza kutengeza bara bara ya kutoka relini Majumba Sita kwenda Segerea akanielimisha sana kwamba kwa nini bado haijatengenezwa na kwamba ana uhakika kuwa itatengenezwa.

- kwamba amechanganyikiwa, sio kweli he is fine unless kuna something else I am missing here!, tuwe wakweli tuachane na upotoshaji.

William.

Hungeandika tofauti; kwani ndivyo mlivyo.
 
Back
Top Bottom