Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,809
- 218,467
Hizi Taarifa zinaletwa humu kimkakatiHii ni habari ya muda mrefu ila kaweka tarehe ya leo!
Hizi Taarifa zinaletwa humu kimkakatiHii ni habari ya muda mrefu ila kaweka tarehe ya leo!
JF ina watu kama wewe pia!Kweli Mama kaja na misimamo yake.
Jamaa ni mjinga kabisa, kaweka tarehe ya leo. Kama alikuwa anataka kuleta hii habari angeacha tarehe take rasmi ilikuwa 2012BAK ni Moja ya Id Kongwe humu jamvini, Lakini nadhani ndo ID kilaza zaidi kwenye ID zinazojihusisha na jukwa la siasa akifuatiwa na Salary Slip.
Naomba kuwasilisha.
Soma bandiko kwanza! BAK kakupeleka marikiti...!! Haha haaa!Kweli Mama kaja na misimamo yake.
Unaweza kukuta Kuna sehemu kaenda ku-copy, kaja humu kupaste bila hata kujiuliza Kama kweli au laSoma bandiko kwanza! BAK kakupeleka marikiti...!! Haha haaa!
Sawa ni ya muda mrefu lakini Kikwete na ufedhuli wake bado yuko hai na Mahalu pia yuko hai!!! Kikwete hana tofauti na Jiwe jinsi walivyowatesa watu; kumbuka Kikwete ana damu ya Mwangosi mikononi wake!!Acha upuuzi, hii habari ya muda mrefu wewe
Hakuna asiyejua hilo , hii imeletwa makusudi
Uchochezi huyu! Anataka kuonesha kwa wajinga kuwa JPM ndiye alimfungulia Mhalu kesi na Samia 'kipenzi chao maana ni dhaifu' amemwachiaHuyu jamaa ni mjinga, habari tokea 2012 anakuja kuleta leo
When Tanzania was under the Rule of Law....Mwendazake anasema alimuita ofisini wakaongeaBila kujali hadhi yake ya Rais mstaafu, Mkapa alipanda kizimbani kumtetea rafiki yake, Profesa Mahalu na kuchuana vikali na mawakili wa Serikali inayotokana na chama chake.
Acheni upuuzi wenu. Nimempigia Prof Mhalu akashangaa. Acheni ujinga huuHizi Taarifa zinaletwa humu kimkakati
Taratibu, usije kukuta mpuuzi ni wewe
Muache ujingaHakuna asiyejua hilo , hii imeletwa makusudi
Nani asiyekufahamu na wewe ni genge la kihuni hapa JF na hao wahuni wenzako.Taratibu, usije kukuta mpuuzi ni wewe
Anavunja kanuni za JF. Hasa Kanuni namba 9 inayosemaJamaa ni mjinga kabisa, kaweka tarehe ya leo. Kama alikuwa anataka kuleta hii habari angeacha tarehe take rasmi ilikuwa 2012
Hahahaha haaahaahaah sijajua kama Niko na cheo kikubwa namna hii. Shukrani sana! Mhuni ànajibishana na mhuni mwenzie sio? Kazi iendelee, Wallah Mama atawaua kwa preshaNani asiyekufahamu na wewe ni genge la kihuni hapa JF na hao wahuni wenzako.
Hivi kinachokuliza nini ?Nani asiyekufahamu na wewe ni genge la kihuni hapa JF na hao wahuni wenzako.
BAK ni Moja ya Id Kongwe humu jamvini, Lakini nadhani ndo ID kilaza zaidi kwenye ID zinazojihusisha na jukwa la siasa akifuatiwa na Salary Slip.
Naomba kuwasilisha.
Kesi iliisha mwaka 2012 mbona umeileta Leo?Haki siku zote huinua Taifa, na dhuluma huangamiza Taifa.