Mahalu, Grace waachiwa huru, ndugu wamwaga machozi ya furaha

BAK ni Moja ya Id Kongwe humu jamvini, Lakini nadhani ndo ID kilaza zaidi kwenye ID zinazojihusisha na jukwa la siasa akifuatiwa na Salary Slip.
Naomba kuwasilisha.
Jamaa ni mjinga kabisa, kaweka tarehe ya leo. Kama alikuwa anataka kuleta hii habari angeacha tarehe take rasmi ilikuwa 2012
 
Acha upuuzi, hii habari ya muda mrefu wewe
Sawa ni ya muda mrefu lakini Kikwete na ufedhuli wake bado yuko hai na Mahalu pia yuko hai!!! Kikwete hana tofauti na Jiwe jinsi walivyowatesa watu; kumbuka Kikwete ana damu ya Mwangosi mikononi wake!!
 
Bila kujali hadhi yake ya Rais mstaafu, Mkapa alipanda kizimbani kumtetea rafiki yake, Profesa Mahalu na kuchuana vikali na mawakili wa Serikali inayotokana na chama chake.
When Tanzania was under the Rule of Law....Mwendazake anasema alimuita ofisini wakaongea
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jamaa ni mjinga kabisa, kaweka tarehe ya leo. Kama alikuwa anataka kuleta hii habari angeacha tarehe take rasmi ilikuwa 2012
Anavunja kanuni za JF. Hasa Kanuni namba 9 inayosema

9) Uradidi (Urudiaji): Uradidi wa makusudi wa ujumbe usio na maana, ujumbe mfupi sana uanolenga kuongeza idadi ya maandiko yako (posts) au kuwakera wengine hauruhusiwi kabisa. Sambamba na hilo, uradidi wa matangazo ya biashara nao hauruhusiwi kabisa. Hata hivyo, kutangaza ukurasa wako wa biashara inaruhusiwa endapo tu utaomba na kupewa kibali kutoka kwa waendeshaji wa jukwaa hili. Kutumia viungio vya nyuzi za zamani wakati wa mjadala inaruhusiwa, lakini ikionekana viungio unavyovitumia ni vile ambavyo havihitajiki au haviendani jambo husika, basi hili pia litachukuliwa kama uradidi. Vilevile, kutuma uzi wako zaidi ya mara moja huchukuliwa kama uradidi.

9) Spam
Purposely spamming a message board with senseless, vacuous, or very short messages to gain a higher post count, or just to annoy others is HIGHLY frowned upon! Commercial spamming and advertising are just as unwelcome. Promoting your site is only allowed with permission of the site owners. Bumping old threads is allowed, but needless bumps will be classed as spam. Double posting any entry is also considered as spamming!
 
Nani asiyekufahamu na wewe ni genge la kihuni hapa JF na hao wahuni wenzako.
Hahahaha haaahaahaah sijajua kama Niko na cheo kikubwa namna hii. Shukrani sana! Mhuni ànajibishana na mhuni mwenzie sio? Kazi iendelee, Wallah Mama atawaua kwa presha

images.jpeg
 
BAK ni Moja ya Id Kongwe humu jamvini, Lakini nadhani ndo ID kilaza zaidi kwenye ID zinazojihusisha na jukwa la siasa akifuatiwa na Salary Slip.
Naomba kuwasilisha.

Wameuza akili na utashi wao. Wanapambana bado na marehemu. Ni dalili ya ukuu Wake. Angekuwa mtu wa kawaida wangempuuza. Ila hadi kivuli chake kina wafuata. Hawawezi kumove on kwa kuwa hawajawahi kuwa relevant.

Sasa wanamfuata mama sio kwamba wana mahaba naye ila wanataka kuonyesha kuwa hayati Ni so und so. Na Shida yao kubwa hawasomi habari ila wanaangalia Nani kaandika wanakuja na wanaanza na wenyewe walioandika. Majina Ni Yale Yale. Watu kama hawa ukiwapima huwezi kukosa magonjwa yote yanayohusika na kukosa furaha . Sasa kama marehemu bado anakunyima raha na unashindwa kumove on, itakuwaje Sasa.
 
Wenye kufikiri nje ya box wameelewa ni kwanini habari hii ya muda mrefu imeletwa leo. Baada ya muda ninyi kina sisi tutakujauelewa. Kwa kifupi ina maana kubwa sana.
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom