imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,437
Asante sana ndugu kwa kunifananisha na kichwa chenye akili agiza mataputapu ndoo mbili nakuja kulipaWewe ni sawa tu na huyo Shangazi yenu Fatuma Karume!
Asante sana ndugu kwa kunifananisha na kichwa chenye akili agiza mataputapu ndoo mbili nakuja kulipaWewe ni sawa tu na huyo Shangazi yenu Fatuma Karume!
Hilo jitu mimi nimeamua kutobishana nalo. he is too primitive in all aspects of upstairs!Wewe ni sawa tu na huyo Shangazi yenu Fatuma Karume!
Kiingereza kimelipiwa hela nyingi, 9 milion a year! Nenda Feza uulizie ada!Sawa. We endelea kuandika tungo za Kiingereza.
Kama hamjui jukwaa sahihi la kupambana na matatizo yenu ya kisiasa, basi endeleeni kuyapeleka mahakamani.
Hatutaki kusikia vilio baadae!
Sent using Jamii Forums mobile app
Is better to be primitive not asshole!!Hilo jitu mimi nimeamua kutobishana nalo. he is too primitive in all aspects of upstairs!
Maprofesa wa CCM kinawatoa jasho sana hujamuona Prof.Ndalicheka au bulicheka hahahaKiingereza kimelipiwa hela nyingi, 9 milion a year! Nenda Feza uulizie ada!
Vipi wa saccos ya Chadema? Hata Prof. Safari amewakimbia ameona anahangaika na idiot!!Maprofesa wa CCM kinawatoa jasho sana hujamuona Prof.Ndalicheka au bulicheka hahaha
Vipi wa saccos ya Chadema? Hata Prof. Safari amewakimbia ameona anahangaika na idiot!!
Endeleeni kutega hivo hivo ili waendelee kuwagusa! Teh teh teh teh😂😂😂😂😂😂😂Kuna mambo ambayo huwa yako wazi kabisa kwamba kuna uonevu, hayo ni lazima yalalamikiwe. Wewe usiyejitambua na mpiga vigelegele kwa kila uonevu huwezi hata siku moja kuyaona . labda mpaka siku wakikugusa. Endelea kupiga vigelegele tu, maana nyie ni watoto wa ibilisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mama Prof wa CCM hamfikii Shangazi wa Taifa bi Fatma Karume hata hiyo phD yake ni kuhonga hahahaa
Kama umesoma alichoandika Meya Isaya leo utaifuta hii thread.Kwa utawala huu, awamu ya tano, lazima kila mmoja ajitahidi kutimiza beuracratic competition! Kila mmoja (sio wote) anajitahidi kumfurahisha fulani hata kama kuvunja sheria/kutotoa hukumu ya haki etc!
Ya Meya wa DSM ndio matokeo ya hiyo! Ya Kabendera na hakimu huyo huyo!
Mimi ni analytical, You go and read between words my post! Nina object kipengele cha kufukuzwa umeya abnapata hasara gani! This is the gist of my post!Kama umesoma alichoandika Meya Isaya leo utaifuta hii thread.
Kwanini usitoe hukumu wewe? Huna uwezo wa kuwa hakimu au Jaji bali uwezo wako ni wa hapa JF kutoa pumba basi.Kwa utawala huu, awamu ya tano, lazima kila mmoja ajitahidi kutimiza beuracratic competition! Kila mmoja (sio wote) anajitahidi kumfurahisha fulani hata kama kuvunja sheria/kutotoa hukumu ya haki etc!
Ya Meya wa DSM ndio matokeo ya hiyo! Ya Kabendera na hakimu huyo huyo!
pumba mama yakoKwanini usitoe hukumu wewe? Huna uwezo wa kuwa hakimu au Jaji bali uwezo wako ni wa hapa JF kutoa pumba basi.
Ass! Sikuachi kazi yangu kukuelewesha mpaka uelewe na uache kudanganya hapa JFpumba mama yako
Wewe hutakaa uwe na elimu kama ya kwangu. Nimekwambia kuwa nimemaliza first degree hata mama yako jahazaliwa, 1981!Ass! Sikuachi kazi yangu kukuelewesha mpaka uelewe na uache kudanganya hapa JF
Wewe ndio mpumbafu.huoni chadema tunavyokandamizwaa???Wanasiasa acheni kuitumia mahakama kama kichaka cha siasa zenu uchwara.
Mnalo bunge na majukwaa ya kisiasa. Nendeni huko mkapigane vikumbo.
The court is not a battleground for politics.
Mmeshindwa siasa, mmeamua kuivamia mahakama.
Mara wakurugenzi sijui wamekuaje, mara spika sijui kafanyaje. SIASA TUPU.
Acheni huo upumbafu!
Sent using Jamii Forums mobile app